The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,170
Angekua mchaga angeshajumlishw na Mramba,ckuiz kuwa mchaga ni dhambi kwa baba jNi mchaga au kabila gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekua mchaga angeshajumlishw na Mramba,ckuiz kuwa mchaga ni dhambi kwa baba jNi mchaga au kabila gani?
Taarifa kwa umma sio barua.View attachment 453098
Hii hapa ndio format ya barua za tanesco.
Haiwezekani mpaka mchakato wa kupandisha bei ya umeme ukafikia mwisho waziri mwenye dhamana akawa hana habari?Kama vile maigizo hivi...Huko Serikalini Vp? coordination ya serikali kabla ya jambo lolote haipo?
Haya nenda kamtandikie mumeo mlale.Acha porojo sister,kwa hiyo unapendekezwa Mramba aachwe kwa sababu tu kuna Escrow!
Asante kungwi wanguHaya nenda kamtandikie mumeo mlale.
Kwa jinsi Magufuli na Muhongo walivyoongea ni wazi kabisa hii issue ya kuongeza bei ya umeme ndio imemuondoa Mramba Mimi sijapinga Mramba kuondolewa but tatizo ni jinsi watendaji wa serikali wanavyofanya kazi,kwenye hii issue inaonekana hakuna mawasiliano kabisa kati ya Tanesco,EWURA na Waziri wa Nishati sidhani kama ingefika stage hii kama hao wadau wangekuwa wana mawasiliano .Issue ya Jenista/Sefue kumteua boss wa NSSF siku iliyofuata atateuliwa mtu mwingineKwahio kwa mfano kama Mramba aliambiwa asiendelee na mkataba na Symbion ambao wanataka pesa yao iwe wamezalisha umeme au hawajazalisha.
Je ameshauriana vipi na waziri kuhusu hili la kuongeza bei ya umeme hata baada ya kupeleka maombi EWURA?
Inaonekana amekikuka maagizo ya raisi kwa kwenda EWURA moja kwa moja kwamba liwalo na liwe licha ya kuagizwa pale Kinyerezi mwaka jana.
Au wewe umeelewaje kwenye hili?
Kwa mujibu wa Waziri.Hii barua ni ya lin?? Kwann wasikatae kupanda kwa bei toka kipind hicho???
View attachment 453100
Tatizo kila mmoja akiteuliwa anajiona boss wanasahu wakitaka kufanya maamuzi lazima boss mkuu apewe taarifa bahati mbaya boss mkuu hapati taarifa.Kwa jinsi Magufuli na Muhongo walivyoongea ni wazi kabisa hii issue ya kuongeza bei ya umeme ndio imemuondoa Mramba Mimi sijapinga Mramba kuondolewa but tatizo ni jinsi watendaji wa serikali wanavyofanya kazi,kwenye hii issue inaonekana hakuna mawasiliano kabisa kati ya Tanesco,EWURA na Waziri wa Nishati sidhani kama ingefika stage hii kama hao wadau wangekuwa wana mawasiliano .Issue ya Jenista/Sefue kumteua boss wa NSSF siku iliyofuata atateuliwa mtu mwingine
Nasikitika sana! Lakini acha tu waisome namba ... ccm mbele kwa mbele!Rais Magufuli leo ametengua rasmi uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), Eng. Felchesmi Mramba.
Aidha Rais amemteua Dkt. Tito Esau Mwinuka kukaimu nafasi hiyo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwinuka alikuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).
Daah,hongereni mkuu..
Cc pande za dom hiz,tumezimic saana mvuu..hatuioni
bado wapo wengi tu,huwezi kuwamaliza wachaga,wamesoma sana na wana maendeleo mkuuNahisi wachagha wameisha sasa ktk awamu hii