Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliepandisha bei ni EWURA. TANESCO walipeleka mapendekezo yao tu na EWURA wakapitishaYule jamaa wa EWURA aliekubaliana na ombi la Mramba la kupandisha bei ya Umeme anafanya nini ofisini mpaka leo??
Mramba ana makosa yake nae, lakini na yule jamaa nae angetimuliwa tu. Maana alichofanya yule M-Ewura ni sawasawa na Mwele wa NIMR, anapandisha bei bila kuwasiliana na Waziri husika
Maswali ya kujiuliza ni:Rais ameshangazwa na kitendo cha watendaji waliopandisha bei ya umeme bila hata ya kushauriana na yeye, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu au Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo.
''Ninamshukuru sana Waziri wa Nishati na Madini kwa maamuzi ya kusitisha hayo. Kwa hiyo umeme hakuna kupanda bei, Amesema.
Mhh, hii itakuwa nouma!!Kwan Msigwa atakapo tenguliwa,press release ataandaa nan?
Teh,nko nawaza tu.
Kama MAGUFULI alisema ni marufuku mtu kupanda bombardier bure hata awe waziri au Mwenyekiti wa bodi ya ATCL sasa iweje wafanyakazi wa TANESCO watumie umeme wa BURE??Naunga mkono Mramba kutumbuliwa...
kosa lake ni kukosa ubunifu, yaan kila wakijisikia tu ni kuongeza Bei ya umeme kwa wananchi? hamna ubunifu mwingine tofauti na kuongeza gharama kwa wananchi?
Kwa nini wasipunguze zile offer za Units kwa wafanyakazi wao? au wazifute kabisa hizo offer...! haiwezekani wafanyakazi takribani zaidi ya mia 500 tuwalipie gharama za umeme afu wao wanapikia majiko ya Umeme kila siku, sisi tunajibana na mkaa au gas wao tuwalipie!! haiwezekani...
Hahahah chumbile nnungu cha kumemena
Mkuu unaweza kuwa una namba ya JK ya Voda um deep atakupigia mwambie aingie JF.
Teh teh teh
Mbona makabila mengi hayapo serikalini mkuu kama sisi Wanyisanzu hata katibu tarafa hatuna achilia mbali waziri.
Kumbe ulivyonipinga kwenye post ile nawe ni wa mulemule? Magufuli anachemsha vibaya sana mkuu.Tumwombee Mh. Raisi akomae hadi awang'oe wote kabisa.
Mwinuka????? Dah haya bwana... Ila katoa fadhila kwa Wahaya ili kesho abwate weee na mambo mengine yaende!! Mwinuka ni mchanga mno na hajawahi kuwa mbunifu hata kidogo.! Hapana!! Mwinuka Tito hapana!!!!!
Sipendagi mtu aandike bila kuwaza.Kuna uzi humu sijui umeenda wapi.Mwele alishawasiliana na huyo Mama Waziri.Akaona.kimyaaa.Wkt shirika.linampa mamlaka.kusema mbona Mabusha na Matende na.magonjwa mengine alipokuwa NIMR Aliyaweka wazi.Huo wa sasa mnaogopa gharama eeeh????Yule jamaa wa EWURA aliekubaliana na ombi la Mramba la kupandisha bei ya Umeme anafanya nini ofisini mpaka leo??
Mramba ana makosa yake nae, lakini na yule jamaa nae angetimuliwa tu. Maana alichofanya yule M-Ewura ni sawasawa na Mwele wa NIMR, anapandisha bei bila kuwasiliana na Waziri husika
ni kweli mkuu,,km unakumbuka mwishoni mwa hawamu ya 4 serikali waliipita Tanesco TB ya dola zaidi ya 400m,,je hizo ela zote zimefanya nn km sio zilichotwa kupitia Escrow?km mtu 1 analipwa 60m@year=5m@month,,sasa iyo ni sawa na nguzo ngapi?tuwaache jamaa wafanye kazi coz hawamu ya 4 iliturudisha nyuma sana na kuendekeza upuuzi mwingi na mkubwa mno kwa maslahi ya wachacheTANESCO hawapaswi kulipana bonus kila mwisho wa mwaka kiasi cha kufikia Tzs. 60m/- kwa mtu mmoja wakati shirika linashindwa kujiendesha isipokuwa kwa kupandisha bei ya Umeme.