barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Leo mnashabikia walioenjinia uozo wa tanesco, hii ni hatari!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaponea tundu la sindano. Ninadhani kwakuwa alipelekewa "ombi"!Mhhh utumbuaji huu ila wa ewura naona kapona
Na mwaka huu mwanzoni waliahidi kupunguza bei kila mwaka, lakini wameenda kinyume na ahadi zao kwakuona kuwa waTz wajinga na ni wasahaulifu sana.Kosa ni kwanini amependekeze kupandisha umeme??
Hata Ibilisi katika hili hawezi kukuunga mkono japo ana roho mbaya.Chelsea wakati inafanya vibaya, Mourinho alifungashwa virago na sio wachezaji.
Kama Mramba na management nzima ya TANESCO walikosea,Bodi ya TANESCO je?
Anyway wacheni tuende hivi hivi ila huko mbele ya safari tusije kimbiana.
Mkuu,nimeulilza hilo swali sio kama napenda ila basi tu Mungu ndie anaejua.Hata huyo mramba kosa lake nini ? Bila ya shaka bei za umeme zipo juu sana ila shirika halina pesa kuji endesha sasa watafanya nini ?
Shirika lina madeni mengi ya kisiasa...kuanzia richmond, pan african gas, IPTL na miradi mingine mibovu ya kunyerenzi i na 2
Yote ni hasara tupu.
Kosa lao liko wapi
Waliomba baraka za wizara na kuoeleka maombi ewura..ewurawakawapa ongezeko kidogo. Kwaniaababuzaozaridhisha...
Upande mwengine bei kubwa inattuuuwa...jeesolution ni nini ? Solution ni kuondoa vat kwenye umeme na hio asilimia wapate tanesco...ni very easy...
Kama Mramba na management nzima ya TANESCO walikosea,Bodi ya TANESCO je?
Anyway wacheni tuende hivi hivi ila huko mbele ya safari tusije kimbiana.
Tumia akili kufikiri usitumie kipururu chako,nmekwambia tetesi zilkuepo kwenye mitandao hata hapa jf tangu mwezi wa kumi,lakini ewura rasmi wametangaza Jana au hata hujui ewura wametangaza lini ongezeko hilo? Vijana wa ufipa mpo kama misukule hiviKilaza kweli wewe,unajua hata maana ya tetesi??
Yani wewe suala la kupanda kwa bei ndo umelisikia jana?? Upo nchi gan? Swala hili liliwekwa public na Mkurugenzi wa EWURA tokea November kwa taarifa yako.haya unalingine?
Retired inaonekana wewe ni tanesco masalia. Iko wapi sympathy yako kwa umma? Nikikueleza kuwa wewe ndiye walewale ntakosea? Kama nakosea, niwie radhi.Hilo ni kosa? Huyu mtu na maaskofu wake watahukumiwa!
Mkuu tuna hasara tena kubwa tu kuwa chini ya hawa watu.Ni vigumu hata kuelewa ni nini wanachosimamia.Swali zuri sana hili Mkuu maana Management ya TANESCO ilipoona kuna umuhimu wa kuongeza bei bila shaka waliwasiliana na bodi yao ya Wakurugenzi ili kupata baraka zao na hivyo kuwaruhusu waende EWURA. Sasa bodi ya Wakurugenzi mbona imeachwa!?
Mkuu kama ingekuwa ni mimi hii EWURA ningeivunja tu na kuweka kitengo kidogo pale Wizarani kushughulika kazi zinazofanywa na EWURA. Hawa EWURA nao kwa namna moja au nyingine wanachangia kwa kuongeza bei za umeme nchini.
Mkuu kwani katibu mtendaji wa bodi ya taneco ni nani?Swali zuri sana hili Mkuu maana Management ya TANESCO ilipoona kuna umuhimu wa kuongeza bei bila shaka waliwasiliana na bodi yao ya Wakurugenzi ili kupata baraka zao na hivyo kuwaruhusu waende EWURA. Sasa bodi ya Wakurugenzi mbona imeachwa!?
Mkuu kama ingekuwa ni mimi hii EWURA ningeivunja tu na kuweka kitengo kidogo pale Wizarani kushughulika kazi zinazofanywa na EWURA. Hawa EWURA nao kwa namna moja au nyingine wanachangia kwa kuongeza bei za umeme nchini.