Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

hivi kumbe movie yoote wewe na muhongo mlikuwa mnamtafuta mramba???
kumtoa na kumuweka mwingine papo hapo inaoneka the mission was well planned
 
Tulitarajia,bado yule wa NHC.Nawashauri watumishi wa umma kuepukana na madili,mtaumia huyu jamaa hatanii.Uongeze bei ya umeme,hela hakuna ,na viagenta vyako vya nyuma ya pazia ,wenzako wamekuruka kruuuuuuu....peke yako kwenye nyavu.

Kuhusu huyu wa NHC Serikali itakuja kushtuka wakati Mabenki yatakapo kuja kupiga mnada Nyumba za biashara alizo jenga kiholela na kwa gharama lukuki, nina uhakika NHC haitamudu kurudisha mkopo on time kutokana na Mashirika mengi na watu binafsi kujiingiza katika biashara ya Real Estate, hilo litakapo tokea yeye atakuwa amekwisha sepa!!

Kwa bahati mbaya Wizara mama wala hawajalishtukia hili, wanamsifia sifia tuu - wanampa passport ya kuchukua mikopo Benki kiholela mradi kaamua yeye kujingiza kwenye projects ambazo nyingine ni highly questionable wanaona sawa tu.

Wakati mwingine aliwahi kupendekeza eti baadhi ya majengo ya Shirika anayojenga City Center na nje eti wawauzie wageni!! - Kasahau kwamba unapo uza nyumba kwa mgeni unamuuzia na aridhi indirectly!!

Binafsi sina tatizo na jamaa as a person hisipo kuwa modus operandi yake ndiyo yenye walakini mkubwa sana, atakuja kulitia hasara ya matillioni Taifa Serikali hisipo kuwa makini/ku-regulate ma Mega Project ya jamaa huyu - yanatisha sana na hayana mwelekeo mzuri.
 
Kwa mujibu wa Waziri.

Hadi jana 31.12.2017 EWURA, kinyume na matakwa ya sheria, haikuwa imepeleka ripoti ya uamuzi wake kwa waziri mwenye dhamana, kujadiliwa na kupitishwa/kuthibitishwa kabla ya kutangazwa kwa pendekezo la bei mpya.

Hii tarehe bado hatujafika
 
Kwanini iwe kukosoa tu!!?
Tens upande wa Serikali pekee
Upande wa cdm hujawahi kukosoa zaidi ya kuunga mkono hata kama ni ujinga

..Duh!!

..mimi naunga mkono Raisi kutumbua. Lakini nataka ktk utumbuaji huo atende haki na afuate sheria.

..ndiyo maana nikauliza: kwanini alitumbua bodi ya tra akamuacha mkurugenzi mkuu? Na hapa kwanini ametumbua mkurugenzi mkuu na kuiacha bodi?

..kwa upande mwingine wewe unasifia kila kitu. Hata Raisi anapofanya mambo ambayo yana utata.
 
Jatujazoea vitu vikubwa na biashara huria. Mbona hata Diamond kanunia nyumba South na yeye ni mgeni huko
 
tatizo limerekebishwa? au hii ni sanaa tu inayochezwa kwa kufurahisha watu,kama tatizo bado lipo miezi mitatu ijayo tunarudi hapa hapa na mwengine atatumbuliwa tena
 
Taarifa kwa umma sio barua.
Kwa hiyo taarifa kwa umma inakaa shagala bala bila mpangilio!!?. Mbona jina limwekwa? Kwanini saini haipo? Taarifa kwa umma bila tarehe. Toa umburura wako hapa. Taarifa za serikali zipo na format zake. Sio taarifa za walevi kwenye bar.
 
Aliefariki ni brigedia general mhaiki...kaka yake

Engineer deklan mhaiki bado yupo Tanesco.

Usiue watu kama huna uhakika
Mkuu unaweza kuwa una namba ya JK ya Voda um deep atakupigia mwambie aingie JF.

Teh teh teh
 
Hivi hao madr ma professor kila kichapo wanaondolewa vyuoni watoto wetu watasomeshwa na nani? Au ndo wanatakiwa kuwa na PhD hewa?
 
Hii serikali mbona inafanya watu wote kama hatuna akili. kuhusu kupandisha kwa bei mbona EWURA waliweka kila kitu public?? Kwann serikali isiingilie kati toka wakati ule???. Yan Jan Mos imefika maamuzi ya mlipulipuko yanafanyika as if ndo serikali yote imejua jana kwamba bei ya umeme itapanda. Hapa ndipo serikali ya Mtukufu Rais inapopofanya siasa wakati ndugu zangu wa Upinzani wanapigwa mikwara kila leo. Hiz ni siasa uchwara.[HASHTAG]#SerikaliYaMilipuko[/HASHTAG].
Tumia akili usibwatebwate hovyo,ni lini EWURA iliweka wazi suala la kupanda gharama za umeme kama sio jana? Tetesi zilikuwepo tangia octoba zilienea sana mitandaoni,je ulitaka serikali ijibu tetesi??? Mahaba ya ukawa uasikukabe uwe mtumwa wa fikra.
 
Kuna shida kubwa sana awamu hii ya Kiuongozi nadhani ushauri wa wanaotoa ushauri haukubaliki au wanaogopa kumshauri Rais na Serikali yake.
Tunapata aibu sana kwa viongozi kupishana kwa kauli kila wakati huyu anasema Yes Yule anasema NO...watu wanaruka na kukanyagana, 'Lack of Leadership Management'.
Ni kweli kuwa hakuna Mtz. mwenye akili timamu atakaye kubali gharama za umeme kupanda ila SHIDA NI VIONGOZI KUKOSA KAULI MOJA NA USHIRIKIANO KILA MTU NA KAULI YAKE NA MWISHO NI AIBU TUPU KWA TAIFA NA KIMATAIFA.
HATIMAYE WANAKUJA NA MAAMUZI YAO MARA KUTENGUA AU KUTIMBUA....NADHANI KUNA POLITICAL GAME/COMEDY HAPA INACHEZWA NCHI IMEKUWA IKIONGOZWA NA MATUKIO TU KILA KUKICHA....ANYWAY WASIJE SEMA MIE MCHOCHEZI NGOJA WAFU WAZIKANE WENYEWE SISI YETU MACHO.
NI SAWA GHARAMA ZA UMEME HAZITAKIWI KUPANDA BEI ILA KUNA SHIDAY YA KIUONGOZI HAPA KWA KAULI HIZI ZA VIONGOZI KILA MTU NA YAKE UTADHANI HAWAJENGI NYBA MOJA KILA MTU HUGOMBEA FITO,JE NYUMBA ITAJENGWA KWELI HIVI HUU NI MWAKA WA PILI KWA AWAMU YA 5 HAKUNA JIPYA NA YALIYOTEGEMEWA NI TIFAUTI KABISAA.

There is no political game or what. Tatizo ni kukurupuka baadhi ya viongozi bado wanandoto za awamu zilizo pita kila mwenye madaraka anajiamulia anavyotaka haswa ktk masuala ya public consumption, bila hata kumshauri Waziri husika na haiwi chochote, that era was over !!!!! sasa wenye madaraka ktk taasisi za serikali watulize akili, nafikiri mmoja kati ya watendaji wa waziri wa nishati ni huyo mkurugenzi wa tanesco maombi au ushauri wa kupandisha gharama za umeme kwanza angemuandikia waziri wake na kujibiwa kimaandishi kukubali au kukataa na waziri kwa kua yeye ndiye mwenyedhamana na sekta hiyo ya umeme, hapo angekua ktk safe said juu ya maamuzi yake.
Kunatatizo moja la watanzania kutopima mambo na kukurupuka humu katk jf. mchango wa wengi wanamlaumu JP.na hilo linaonyesha uwezo wetu mdogo wa kufikiri,
EURA walipo tangaza kupandisha gharama za umeme waziri mwenyedhamana Muhongo alipinga hilo hiyo inaonyesha hakushirikishwa ktk maamuzi hayo, je unafikiria waziri alimuandikia nini Rais juu ya hilo kuhusu mtendaji mkuu wa shirika?
Kwakua waziri hana mandate ya kumuwajibisha mkurugenzi mtendaji. ila hutoa ushauri kwa rais
 
Back
Top Bottom