Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Amekula kichwa shirika limejaa vibarua kibao anashindwa kuajiri sijui kwanini? Wapo watu wengi wanaofaa watafiti cheo kwa zamu.
 
Yule jamaa wa EWURA aliekubaliana na ombi la Mramba la kupandisha bei ya Umeme anafanya nini ofisini mpaka leo??
Mramba ana makosa yake nae, lakini na yule jamaa nae angetimuliwa tu. Maana alichofanya yule M-Ewura ni sawasawa na Mwele wa NIMR, anapandisha bei bila kuwasiliana na Waziri husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…