Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Mapichapicha tu hayo soon tutasikia ameteuliwa kushika nafasi nyingine muhimu tu.
 
umeme ni shida katika Nchi hii badala kushughulika kuondoa Tatizo la umeme kukatika katika . Kweli serikali hii viongozi lazima wawe na uoga Kwa kufanya maamuzi. Sijajua maamuzi ya kupandisha bei yamefanywa na mkurugezi pekee yake mpaka uteuzi kutenguliwa.
 
Swali La Msingi naweza Kukuuliza Wewe Unaamini Waadhiri wapya Hawapo wala hawawezi Kutokea? Nafikiri Kuondoka Kwa Mmoja Kunaleta Kuzalishwa Kwa Wengi Zaidi. Nafikiri ni Uoga Tu
Ebu niambie, elimu yako? (sina nia ya dharau, hapana, nielewe please) nataka tuwe na common definition of our terms so that we can make syllogism work. Are you an academician? then tutaelimishana!
 
Hii serikali mbona inafanya watu wote kama hatuna akili. kuhusu kupandisha kwa bei mbona EWURA waliweka kila kitu public?? Kwann serikali isiingilie kati toka wakati ule???. Yan Jan Mos imefika maamuzi ya mlipulipuko yanafanyika as if ndo serikali yote imejua jana kwamba bei ya umeme itapanda. Hapa ndipo serikali ya Mtukufu Rais inapopofanya siasa wakati ndugu zangu wa Upinzani wanapigwa mikwara kila leo. Hiz ni siasa uchwara.[HASHTAG]#SerikaliYaMilipuko[/HASHTAG].
 
Tengua teua tengua... naona mkuu anacheza na mapigo ya mioyo za watu kama kitenesi!
 
Swali La Msingi naweza Kukuuliza Wewe Unaamini Waadhiri wapya Hawapo wala hawawezi Kutokea? Nafikiri Kuondoka Kwa Mmoja Kunaleta Kuzalishwa Kwa Wengi Zaidi. Nafikiri ni Uoga Tu
Na uoga huu ndo unawafanya watu waamini kuwa ccm ni baba kumbe ni mtu tunaetakiwa kumpa kazi getini na kumrudisha jikoni kesho yake
 
Sikubaliani na wewe,JPM alivyokuja Arusha kipindi cha kampeni umeme ulikaa kwa siku mbili bila ya kukatika. Ilikua ni mara ya kwanza tokea mwezi wa 6 2015.
alimuhujumu sana kipindi cha uchaguzi umeme ulikatika sana mpaka JK akawacharukia Tanesco huko Lindi
 
Back
Top Bottom