Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Mwaka kauanza vibaya lakin hamna namna hapa kazi tu ndo wanavodai
 
Mwaka mpya Eng.Mramba anauanza vibaya
Rais ameshangazwa na kitendo cha watendaji waliopandisha bei ya umeme bila hata ya kushauriana na yeye, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu au Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo.

''Ninamshukuru sana Waziri wa Nishati na Madini kwa maamuzi ya kusitisha hayo. Kwa hiyo umeme hakuna kupanda bei, Amesema.
 
Anaweza kuiua UDSM bila ya mwenyew kujijua. Maana wahadhiri wote wanapelekwa kwenye siasa chuo kinabaki na makapi tu. Suala la human resource planning kwa UDSM linapwaya sasa.



Swali La Msingi naweza Kukuuliza Wewe Unaamini Waadhiri wapya Hawapo wala hawawezi Kutokea? Nafikiri Kuondoka Kwa Mmoja Kunaleta Kuzalishwa Kwa Wengi Zaidi. Nafikiri ni Uoga Tu
 
Hivi kosa ndio hilo la kuiomba EWURA ipandishe bei ili kuweza kujiendesha?au kuna mengine?

Usiumize kichwa kujua sababu, kesho atakapokuwa anahutubia wananchi wa Kagera atasema sababu Mzee hanaga kuficha maneno.
 
Haya sasa..

Barua ya ikulu hii hapa.
 

Attachments

  • download-1.jpeg
    download-1.jpeg
    45.5 KB · Views: 224
Back
Top Bottom