Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Jibu swali wewe... unataka kuniambia serikali haikuona hayo wakati yanaendelea au walikuwa wanasubiri matokeo ili hatimae wapate grounds za kutumbua? That's one but second; wakati nazungumzia Tangazo la EWURA nimekuwekea tangazo husika!!!
Hivi hudhani badala ya kunihoji functions za EWURA ulikuwa na wajibu wa kuweka hizo fuctions za EWURA? Ili kutoufanya mjadala huu kuwa mrefu;
1. Nijibu swali langu la msingi
2. Weka hapa hiyo sheria ya EWURA na functions zake!!
Or else; CHEAP POLITICS kama nilivyosema hapo awali!!!
Niliweka kila kitu kwenye thread ya kutumbuliwa Mramba, itafute utaipata.
Mimi huwa sibishani bila facts.