Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu


Niliweka kila kitu kwenye thread ya kutumbuliwa Mramba, itafute utaipata.

Mimi huwa sibishani bila facts.
 
Umeme hautapanda kwasababu tunarudi kwenye "command economy" yaani a centrally planned economy! Ambapo bei zitapangwa na tume ya bei ya taifa kwa sababu tunatetea "wananchi wanyonge" walioumbwa kwa mfano wa Mungu!!
Ahsante... kama ndivyo, nakubaliana na wewe!!!!
 
Reactions: MTK
Ahsante Copenhagen DN,

Huo ndio ukweli wenyewe wa kutaka kudumaza akili za watu! Na kwa hakika tumedumazwa na kudumazika na hadi miaka 5 inaisha, Tanzania itaongoza kwa kuwa na mataila ambao ni matokeo ya kuwa conditioned!
taahira mwenyewe bhana.....we vipi..??...we fafanua tuu kwa kadiri vile watu waelewe.....sio kutudhihaki hivyo....povu sana au na wewe mkuu unakunjaga zile 60 mil za bm..
 
Niliweka kila kitu kwenye thread ya kutumbuliwa Mramba, itafute utaipata.

Mimi huwa sibishani bila facts.
Acha kumbwela mbwela wewe.... jibu hayo maswali! Kwanini nipoteze muda kufukua threads wakati hizo docs unazo kwenye PC?? Weka hapa badala ya kuleta porojo!!!

That's one, but second, there's no way majibu ya maswali yangu yanaweza kuwa kwenye thread yako... kwahiyo narudia tena hapa:
  • Unataka kuniambia wakati yote hayo yanafanyika wazi wazi bado serikali ilikuwa haifahamu nini kilikuwa kinaendelea? Kama ilikuwa haifahamu; kuna maana gani basi ya kuwa na serikali isiyofahamu hata kinachoendelea ndani ya taasisi zake?!
  • Au ni kwamba serikali ilikuwa inafahamu kilichokuwa kinaendelea lakini badala ya kuzuia from the beginning wakaamua kuacha kiendelee ili ipate justification za kutumbua?!
Jibu na hayo!!!
 
taahira mwenyewe bhana.....we vipi..??...we fafanua tuu kwa kadiri vile watu waelewe.....sio kutudhihaki hivyo....povu sana au na wewe mkuu unakunjaga zile 60 mil za bm..
Unapaswa kupuuzwa!
 
hapa sasa nimekuelewa mkuu [emoji122] [emoji122] !!
....sasa jazba na povu lilikuwa la nini kueleweshana....!!..capacity ya uelewa watu zimetofautiana.......unatakiwa usiwe mkari kugawa maarifa.....
 
Nawaonea huruma sana wachaga
 
Ukitaka kufahamu aina tofauti ya makaburi anza kulitafuta lile liloandikwa IPTL 1994 initiation stage.
Kwa sasa hilo kaburi lipo au halipo?!

Kama bado lipo; serikali inaendelea kulisafisha na kwenda kuweka maua juu yake au limeshafukukuliwa na mifupa yake ya marehemu wake kupigwa moto??!!!
 
Ikiwa umeshindwa kuona hoja basi inathibiisha wazi kwamba hii mada kwako ni mzito or else unahitaji hoja nyepesi nyepesi ndipo unaweza kufahamu kilichomo kwenye hoja husika!!!!

Wewe huwezi kubishana na mimi kwa sababu nna access na kila aina ya sahani.

Hatuwezi kwenda kama unakimbilia kusema serikali ilifahamu kwamba EWURA wanataka kuongeza tariff halafu wasubiri kumtumbua Mramba.

Ni wapi hapo katika hiyo barua EWURA imetaja neno serikali au wizara?

1. Serikali kupitia wizara ya nishati ilifahamu kwamba kuna mashauriano na siyo maamuzi juu ya kuandisha gharama za umeme.

2. Sina ushahidi kuhusu suali lako la pili, hivyo siwezi kukujibu moja kwa moja.
 
Huna lolote wewe! Eti siwezi kubishana na wewe... WHO ARE YOU? Kama una access jibu hayo maswali niliyokuuliza badala ya kuleta porojo na longolongo!!!! Kama serikali ilifahamu na inaamini hapakuwa na grounds za kupandisha umeme... kwanini waaliacha majadiliano yaendelee?

Kwanini serikali iliacha raslimali zake kutumika kwa jambo ambalo wanafahamu halikupaswa kuwa?
 
Kwa sasa hilo kaburi lipo au halipo?!

Kama bado lipo; serikali inaendelea kulisafisha na kwenda kuweka maua juu yake au limeshafukukuliwa na mifupa yake ya marehemu wake kupigwa moto??!!!

Kama ni kumwagiliwa maua basi ratiba imebadilishwa.

Ila kama ni kufukua utaratibu wa kuomba kibali upo mbioni.
 
Huna lolote wewe! Eti siwezi kubishana na wewe... WHO ARE YOU? Kama una access jibu hayo maswali niliyokuuliza badala ya kuleta porojo na longolongo!!!!

You don't know me mate, so don't judge anonymous strangers.

But for your info, I know who you are.

Lakini tupotezee tu hapa ni JF.
 
You don't know me mate, so don't judge anonymous strangers.
Look!! We unanifahamu?! Kwanini ujigambe siwezi kubishana na wewe kv tu eti una access na makaratasi ya serikali wakati hata wewe hunifahamu?!

Oh! Ni dalili ya kuishiwa hoja hii... It' true, I don't know you and you don't know me either kwahihyo kinachotamalaki hapa ni HOJA!!!
 

I know exactly who you are, but lets not get into that route.

We are just passers by.
 
Hv alijiamulia kutangaza bei ya umeme kupanda bila kukaa vikao? Halafu hata Katibu mkuu wake hakumwambia? Yaani kachukua uamuzi kama vile mzee Mengi or bakhersa.Siamini kama alifanya hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…