freddy1974
Member
- Dec 21, 2016
- 61
- 26
Tumbua, Teua, tengua Baba. Hakuna namna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah... Sasa una ushauri gani??Siungi mkono utumbuaji.
Still bado Tanesco na idara ya maji Kuna uozo mkubwa. Gharama tunazolipa aziendani na huduma tunazopata
Yupo College gani Mwinuka?Dr Tito nenda tu tanesco maana ungeshanilima supp ...coz hii couse work ulionipa sijui kama ningeweza kupata ata D kwa kwel
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]wewe ulitakaje labda,subiri 2020 ugombanie urais na mh
Uskute mzee wa watu jana katuma sms za wishes ya mwaka mpya yenye kutaka 2017 uwe mzuri kwake,kwa bahati mbaya hata tarehe 1januari haijaisha kaanza na gundu,bonge la nuksi hii...Rais Magufuli leo ametengua rasmi uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), Eng. Felchesmi Mramba.
Aidha Rais amemteua Dkt. Tito Esau Mwinuka kukaimu nafasi hiyo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwinuka alikuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).
Mramba ni the best how?Binafsi nashindwa kuielewa hii serikali ktk watu smart na makink waliowahi kuwa wakurugenzi pale tanesco Mramba ni the best hii inshu ya bei ya umeme lazima raisi alikuwa anajua waziri na wizara yake wanajua na hata bodi ndo waliipitisha hii sasa sijaelewa raisi anaposema eti hakuhusishwa hizi siasa hazitatufikisha popote pale kwa miaka 5 itakuwa haya haya tengue teua tengua teua
Matokeo yake mteja ndie anawabembeleza Tanesco ili wamuungie umeme hadi anahonga ili aupate umeme.Kama kuna sekta zinazo hitajika kufumuliwa na kuundwa upya basi Tanesco na idara za maji nchi nzima,huwezi fanya kazi kwa mazoea kiasi hicho huu ni unyumbu wa hari ya juu mno. Tanesco inapashwa kuanzia sasa iwatafute wateja popote walipo na kuwaunganishia umeme kwa bei ya chini kabisa ili itengeneze fedha kwa watu kununua umeme,pia idara za maji ziwafwate wateja na kuwaunganishia maji almost for free ili watu wanunue maji. Sio huu mpango wa kuuza nguzo kwa raiya ni unyumbu ulio pitiliza,mteja afwatwe huko aliko sio kumsubili ofosini.
Twafwa!Rais Magufuli leo ametengua rasmi uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), Eng. Felchesmi Mramba.
Aidha Rais amemteua Dkt. Tito Esau Mwinuka kukaimu nafasi hiyo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwinuka alikuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM).
Sikubaliani na wewe kampuni kama hii kuongozwa na BCom. Anatakiwa Eng aliye na MBA au Project Management.Mkuu huwa nakubaliana sana na mabandiko yako lakini umekosea sana kubeza ubobezi wa Mwinuka kwenye eneo lake umahiri yaani Mech Eng. uliposema mambo ya lathe sijui kitu gani. Wakati mwingine jaribu kuwa na staha kama kitu haufahamu.
Pia huyo Kimambo naye ni Mech Eng japo kaspecialize kwenye energy lakini bado ni Mech. na sidhani kama ana sifa za ziada za kusimamia Tanesco. Mradi wa incubator pale Kibaha ulikufa mikononi mwake sembuse Tanesco ataiweza. Nasema hivi purely on belief kwamba usimjaji mtu kwa alichosoma ila kwa uwezo wake wa utendaji. Wote hawa Kimambo na Mwinuka ni academician na sio watu wenye uzoefu kama CEO's
Kama ni Tanesco ni bora angechukua kabisa mtu wa ECSE au BCom. Penye ukweli tuwe wakweli tuache ushabiki.
Yupo CoET.. Mechanical na nadhani huyo dogo atakuwa analia na PD!Yupo College gani Mwinuka?
Mtumbuaji asiishie kutumbua tu Bali apamlike Kwa jicho la piliDah... Sasa una ushauri gani??