Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Hii ishakuwa zilipendwa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKURUGENZI MKUU TANESCO ATUMBULIWA.
Rais Magufuli amemfukuza kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Felchesmi Mramba kwa kutengua uteuzi wake kuanzia leo na amemteua Dkt Tito Esau Mwinuka kuwa Kaimu Mkurugenzi mpya wa TANESCO.
![]()
![]()
Na mara nyingi ma academicians sio watendaji wazuri....Sasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
You can not create something from nothing! Nature abhorred vacuum!cheo ni dhamana kamanda,unaweza kupokwa tu bila ya sababu yoyote
KOSA LIPO HAPA MKUUSijui kosa la Mramba ila katika wakurugenzi wa taa nesco huyu alipiga kazi.
Ninachoona ni (............)
Yuko kikaangoni,subiri aiveIla mbona jamaaa namuonaga anapiga kaz kisomi sana mramba ...ila duh hizi drama ...
Na wa ewura nae mbona kaachwa
Na hatutakiwi kuihoji, lasivyo "tunapotea" kama yule jamaa.Tanzania ina bahati, kwa mara ya kwanza tumepata rais mwenye PhD (original siyo Hon.) tena ya sayansi, siyo sanaa.
Kaka wanalipana bonas?.ndo nasema kuwa idara na taasisi za serikali zote inabidi ziwe sawa kuanzia kima cha mshaharaKOSA LIPO HAPA MKUU
Wakuu wa TANESCO hawawpaswi kulipana bonus kila mwisho wa mwaka kiasi cha kufikia Tzs. 60m/- kwa mtu mmoja wakati shirika linashindwa kujiendesha isipokuwa kwa kupandisha bei ya Umeme. Hii inamaanisha kuwa wananchi wakamuliwe ili ipatikane pesa ya mabosi wa TANESCO kulipana bonus! Prof. Muhongo amesema ameagiza hata hiyo bonus isilipwe au irudishwe kwa waliokwisha kulipwa.
KOSA LIPO HAPA MKUU
Wakuu wa TANESCO hawawpaswi kulipana bonus kila mwisho wa mwaka kiasi cha kufikia Tzs. 60m/- kwa mtu mmoja wakati shirika linashindwa kujiendesha isipokuwa kwa kupandisha bei ya Umeme. Hii inamaanisha kuwa wananchi wakamuliwe ili ipatikane pesa ya mabosi wa TANESCO kulipana bonus! Prof. Muhongo amesema ameagiza hata hiyo bonus isilipwe au irudishwe kwa waliokwisha kulipwa.
Kwani alivyotengeliwa wa kabla yake barua aliandika nani??Kwan Msigwa atakapo tenguliwa,press release ataandaa nan?
Teh,nko nawaza tu.
mkuu unit700anagawa wapi sijaelewa[/QUOTE]19119692, member: 32158"]safi magufuli mramba alikuwa anapwaya sana
huwezi gawa unit 700 bure bure kwa shirika linalopata hasara...
Mchawi wa Tanesco ni Tanesco mwenyewe... Magufuli Hajaliona hili?
mramba ni jipu kubwa sana
Acha porojo sister,kwa hiyo unapendekezwa Mramba aachwe kwa sababu tu kuna Escrow!Akili zenu si fupi kama mkia wa mbuzi kwani mnaelewa basi. Huyo Mkurugenzi mpya mnadhani atatoa hela zake za mfukoni kulipa madeni ya tanesco?
Hapa suluhisho ni kukamata wote waliokula hela za tanesco kupitia escrow account zilipwe kufidia deni,pia mikataba ya kifisadi chini ya utawala wa CCM inayoendelea kulifilisi shirika la Umeme isimamishwe Mara moja kwa maslahi ya umma.
Lakini kwa sababu mmeshasema hamfukui makaburi endeleeni kufanya maigizo mwisho mtaumbuka.
Ama kweli CCM ni ile ile. Kwa nini Rais anakwepa to address financial position ya Tanesco inayodidimizwa na wanasiasa wa CCM? Tanesco wanalipa mamilioni ya "dollars" kila siku kununua umeme wa IPTL etc kunufaisha wenye stake humo ambao ni wanasiasa na kupelekea Tanesco kupata tabu kujiendesha. Only way for Tanesco kujiweka Sawa ni raising tariffs na studies zote have maintained kwamba increased tariffs zipo reasonable due to uhalisia wa mambo. Kwanini serikali ilituingiza kwenye mikataba ya ovyo? That's the root cause, sio ewura au Tanesco. JPM mtumbua majipu, inakuwaje hili linamshinda?
CCM chini ya Chama kimoja ndio iliyosaini mkataba wa IPTL, huu ni mradi wa CCM moja kwa moja uliosainiwa Lumumba na ndio unaoitesa Tanesco.
Mramba ameonewa!