Magufuli awaasa mabalozi wa Tanzania wajifunze kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Asema anatamani sana mabalozi wa Tanzania waige kutoka kwa balozi wa Kenya likija kwenye suala la uzalendo na utatuaji wa matatizo ya kidiplomasia.

Na kwamba angependa balozi wetu abadilishe uraia na kuwa Mtanzania apewe wadhifa wa juu kwenye serikali....hongera sana balozi, huo ndio Ukenya, yaani unapambana mbele kwa mbele ukiweka taifa kwanza.

======

Tanzanian President John Pombe Magufuli heaped praise on Kenya's Ambassador to the country, Dan Kazungu, during an event at his official residence on Thursday, May 21.

He gushed over the ambassador for clearly defending his country as a diplomatic tiff threatened to boil over, after President Uhuru Kenyatta shut down the country's border with Tanzania on Saturday, May 16.

With Tanzanian ambassadors present at the event, Magufuli told them that he wished they could emulate Kazungu.

He went on to jokingly state that he was ready to offer Kazungu a position within Tanzania's administration if he moved from Kenya to the neighbouring country.

"I want to congratulate very much the Kenyan ambassador who is here. He is here because of his country.

"When he saw there are some problems, he came out clearly in the open to speak and defend his country. Those are the kind of ambassadors I need.

"I wish he could move to Tanzania for me to appoint him to a different position. He is a good ambassador," he asserted.

Magufuli was making reference to a press conference in which Kazungu asserted that cordial relations between Kenya and Tanzania were key, citing binding cultural, historical and economic ties.

He spoke as confusion reigned at border points when, in retaliation, Tanzania banned the entry of Kenyan cargo trucks into its territory.

Magufuli reiterated that they would continue with plans to allow tourists back into the country, with the top-flight football league also expected to return as the economy re-opens.

He observed that Kenya was among Tanzania's biggest trading partners, stating that it was up to ambassadors to ensure the relationship was strengthened.

Magufuli had on Wednesday, May 20 eased tensions when he revealed details of a phone-call he had with President Kenyatta in which they agreed to amicably reserve the border row.

He urged Tanzanian citizens to observe precautionary measures as they went about their business, ruling out a lock-down in his tour of Central Tanzania.

"We agreed with Honorable Kenyatta that our Ministers of Transport and the Provisional Commissioners here in Tanzania who are from Mwanza, Mara, Arusha, Kilimanjaro and Tanga will meet their counterparts from Kenya.

"They will discuss this issue and finish it. We need business and Kenyans too need business here," he stated, maintaining that Covid-19 could not be the source of disagreements.

He congratulated Tanzanian Health Minister Ummy Mwalimu for her handling of the pandemic in Tanzania, even with the country attracting criticism from some quarters for its comparatively lax measures.

Magufuli Offers Job to Kenyan Ambassador to Tanzania [VIDEO]
 
Hahaha! Magufuli ameanza kuwacheka kijajnja mlivyo wahi kufanya press conference, kwani huyo ambassador hajui diplomatic channels za kuwasikisha concerns za nchi yake mpaka aite waandishi na kuanza kutoa povu!
 
Yaani awache kuwa raia wa middle income economy aende awe raia wa least developed economy? Doh! Hio ni ngumu kumeza jamani.
 
Yaani awache kuwa raia wa middle income economy aende awe raia wa least developed economy? Doh! Hio ni ngumu kumeza jamani.

Hehehe!!! Tatizo akienda huko atazembea maana kuna jinsi mtu hubadilika kulingana na uliowakuta, Wakenya wakiajiriwa Tanzania huenda na ule mzuka wa uchapaji kazi Kikenya, jamaa wanakuzingua huku wakikuambia ujue huko ni Bongo na kila kitu huendeshwa kibongobongo, wanachelewa vikao bila sababu za maana, mtu anakuambia alihudhuria harusi sehemu, wakati mwingine unaandika ripoti kurasa kama 200, umezikeshea wiki kama mbili halafu unawapa rasimu (draft), na kuwapa muda wa wiki kadhaa wasome, siku unawaita kikao mjadili hiyo ripoti unakuta hakuna aliyeisoma hata ukurasa mmoja....hehehe

Ndio zao hawa na ndio maana huwa unaona wanaingia mikataba wanapigwa sana, jamaa anapewa mkataba wenye kurasa kama 200, anauliza wapi pa kutia saini basi.
 
Nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maadili kazini zinazingatiwa hamna sehemu ya kazi isiyo na maadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha. Hawa watu ni wa ajabu sana. Sijawahi kufika Bongo ila ni wazi kuwa ni watu wavivu sana. Nilijua hivyo kwa kupitia takwimu za GDP tu. Yaani ni vipi wao wana watu milioni 60 na Gdp yao ni 60% ya Gdp ya Kenya, ilhali Kenya tuna watu 46 milion? Yaani kupitia takwimu tu unajua hawa ni wazembe.

Hata kwa mtu mwenye hasomi data, anaweza angalia mambo kama uanaspoti hivi, wapo zero. Pia ukitazama wanaomiliki uchumi wao karibu wote ni waarabu na wahindi. Pia ukiangalia upande wa masomo, Wabongo wachache sana ni international experts in any field.

Kama sisi tuna Mukhisa Kituyi, Ngugi wa Thiong'o, Makau Mutua, Prof Ali Mazrui, Dr Wangari Maathai, na kadhalika na wote wanajulikana kimataifa na wengi niliowataja ni wasomi wenye Phd. Sasa bongo isipokuwa ule mama Tibaijuka, sijui msomi mwingine. Hata rais wao ambaye anadai kuwa ana Phd ya chemistry, juzi nilifuatilia academic publications zake. Kuna publication tu moja google scholar na pia hio publication, link yake haifanyi. Hata kimasomo wamezembea vibaya sana.
 
Tatizo uchumi wenu sio halisia umeshikiliwa na wazungu tofauti na Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitazama wanaomiliki uchumi wao karibu wote ni waarabu
Hapo Kenya unamiliki kitu gani wewe zaidi ya barakoa mbili chafu?

Ardhi yote imeshikwa na familia ya "Kinyata" na genge lake la walevi!

Hilo geto lako la kibera wakilibomoa utawezana na hali? Hehee...[emoji23]

Tanzania ni nchi yenye ardhi ya kutosha kwa kila mtu, ndio maana tuna uwezo wa kuwalisha ninyi watwana wa Kinyata kwa mwaka mzima!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini wazee wa GDP msisahau kwamba deni la nchi ya Kenya ni sawa na 60% ya pato la taifa na bado mnakopa kuhudumia mass testing.
 
umejitahidi kupayuka kimaandishi, hongera sana kwa uzwazwa "keep it up"
 

Wewe hebu angalia hili suala la corona wanavyoboronga, unashangaa jameni nchi haina wataalam wanasayansi wa kutoa muongozo na ushauri, kila mtu anabwatuka chochote.
 
Nimekumbuka hili jina: Robert Ouko (sina hakika kama spellings za hiyo surname zipo sawa).

Ni story ilivuma sana kipindi kile.

Napita tu watani zetu!
 
Wewe hebu angalia hili suala la corona wanavyoboronga, unashangaa jameni nchi haina wataalam wanasayansi wa kutoa muongozo na ushauri, kila mtu anabwatuka chochote.
Hawaheshimu madaktari na wanasayansi wao. Wanaheshimu mkuu wa mkoa na rais wao. Sasa rais ndio anafanya mass testing ya machungwa na anasema ati yana corona. Halafu anapiga kalamu mwanasayansi eti anatoa taarifa mbovu. Sasa wamesitisha kutangaza maambukizi kwa aibu. Marekani Trump anazungumza huku madaktari wamemzunguka. Wanahabari wanapata fursa ya kuuliza madaktari maswali ya kiafya. Hali ni hiyo hiyo UK ambapo madaktari ndio wanatoa takwimu. Kenya pia kuna madaktari huwa wanasoma takwimu na kuchukua maswali kutoka media. Bongo unakuta Mugufuli anaenda kanisani jumapili iliyopita na kutoa mfukoni karatasi ya notebook iliyoandikwa takwimu pale kwa kutumia biro na kuisoma kwenye kanisa. Hata typing tu ni shida.
 
Wewe hebu angalia hili suala la corona wanavyoboronga, unashangaa jameni nchi haina wataalam wanasayansi wa kutoa muongozo na ushauri, kila mtu anabwatuka chochote.
Tungeboronga si utabiri wa Melinda ungetimia kwetu!!! Ila the fun fact ni kuwa mnatuponda then baadaye mnapita njia mulemule tulimopita....Soon mtaelekea Madagascar πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…