Magufuli awaasa mabalozi wa Tanzania wajifunze kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania

Magufuli awaasa mabalozi wa Tanzania wajifunze kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania

Madagascar mbona tulianza kujadili nao hata kabla yenu, sisi tunaskliza wataalam na kufuata ushauri wao na ndio maana hatujakurupuka kutuma ndege kama mlivyofanya kisha vikombe vikaishia kunywewa na wakubwa, makajamba wakaachwa wajifie.
Wajifie!! wanafia wapi?
 
Hahaha. Hawa watu ni wa ajabu sana. Sijawahi kufika Bongo ila ni wazi kuwa ni watu wavivu sana. Nilijua hivyo kwa kupitia takwimu za GDP tu.

Yaani ni vipi wao wana watu milioni 60 na Gdp yao ni 60% ya Gdp ya Kenya, ilhali Kenya tuna watu 46 milion? Yaani kupitia takwimu tu unajua hawa ni wazembe. Hata kwa mtu mwenye hasomi data, anaweza angalia mambo kama uanaspoti hivi, wapo zero. Pia ukitazama wanaomiliki uchumi wao karibu wote ni waarabu na wahindi.

Pia ukiangalia upande wa masomo, Wabongo wachache sana ni international experts in any field. Kama sisi tuna Mukhisa Kituyi, Ngugi wa Thiong'o, Makau Mutua, Prof Ali Mazrui, Dr Wangari Maathai, na kadhalika na wote wanajulikana kimataifa na wengi niliowataja ni wasomi wenye Phd. Sasa bongo isipokuwa ule mama Tibaijuka, sijui msomi mwingine.

Hata rais wao ambaye anadai kuwa ana Phd ya chemistry, juzi nilifuatilia academic publications zake. Kuna publication tu moja google scholar na pia hio publication, link yake haifanyi. Hata kimasomo wamezembea vibaya sana.
Mtafute prof Muhongo.
Geologist
Go and Google him

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe!!! Tatizo akienda huko atazembea maana kuna jinsi mtu hubadilika kulingana na uliowakuta, Wakenya wakiajiriwa Tanzania huenda na ule mzuka wa uchapaji kazi Kikenya, jamaa wanakuzingua huku wakikuambia ujue huko ni Bongo na kila kitu huendeshwa kibongobongo, wanachelewa vikao bila sababu za maana, mtu anakuambia alihudhuria harusi sehemu, wakati mwingine unaandika ripoti kurasa kama 200, umezikeshea wiki kama mbili halafu unawapa rasimu (draft), na kuwapa muda wa wiki kadhaa wasome, siku unawaita kikao mjadili hiyo ripoti unakuta hakuna aliyeisoma hata ukurasa mmoja. Hehehe

Ndio zao hawa na ndio maana huwa unaona wanaingia mikataba wanapigwa sana, jamaa anapewa mkataba wenye kurasa kama 200, anauliza wapi pa kutia saini basi.
Mkenya kabla ya kumpa kazi unapaswa uanze kwa kuandaa prison iliyo na maximum security ya kumpeleka kwa kosa la wizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
60% ya $100 bn ni sawa na uchumi wote wa tanzania[emoji1787][emoji1787] na bado nchi haiyumbishwi kijinga kiuchumi, ile siku mtadaiwa madeni kiasi hicho tanzania kwishnehi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo kenya imekwisha[emoji16][emoji16][emoji16]. Hivi ile bandari kubwa kule lamu imefikia hatua gani[emoji846][emoji846][emoji846]
 
kama ambavyo kenya imekwisha[emoji16][emoji16][emoji16].

hivi ile bandari kubwa kule lamu imefikia hatua gani[emoji846][emoji846][emoji846]
Kwhyo miaka yote mmeshindwa kum overtake mtu ambaye amekwisha tayari..[emoji23][emoji23][emoji122]
Yani hii comment imedhihirisha uzembe wenu..
Nchi ina madeni sawia na uchumi wenu lkn bado inawatoa pumzi[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UJINGA wa KUKOLEA TZ [emoji23][emoji23].Hivi unadhani mbona nyie Bado mpo LDC na sisi tuko MIC? Moja wapo ya vigezo ku classify nchi hivi ni kuangalia watu wangapi wametolewa kutoka ufukara. Nyie kuwa LDC ina maana mna maskini wengi sana wa kutupwa. Sisi pia tuna maskini lakini sio jinsi mlivyo. Poverty rate Kenya ni 32% whereas TZ ni more than 40%. Kwa hivyo hii injili yako BUDA PELEKA HUUKOO. (shout out WAKADINALI) [emoji81].

Umaskini si jambo la kufurahia wala kudhihaki. Sisi wote ni poor countries kwa mtazamo wa kidunia. Huo wimbo wa kuipiku Kenya walisikika mababu zenu wakikariri na sasa wajukuu wamechukua usukani. TZ kuipiku KE labda in another LIFETIME. Au labda katika enzi za vitukuu wa wajukuu wako. [emoji23]
Utakuwa hai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo miaka yote mmeshindwa kum overtake mtu ambaye amekwisha tayari..[emoji23][emoji23][emoji122]
Yani hii comment imedhihirisha uzembe wenu..
Nchi ina madeni sawia na uchumi wenu lkn bado inawatoa pumzi[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo letu sio kuwa na GDP kubwa au kumu overtake kenya,GDP ni tarakimu tu.tunachotaka ni maisha bora kwa wanachi.
 
Hahaha. Hawa watu ni wa ajabu sana. Sijawahi kufika Bongo ila ni wazi kuwa ni watu wavivu sana. Nilijua hivyo kwa kupitia takwimu za GDP tu. Yaani ni vipi wao wana watu milioni 60 na Gdp yao ni 60% ya Gdp ya Kenya, ilhali Kenya tuna watu 46 milion? Yaani kupitia takwimu tu unajua hawa ni wazembe.

Hata kwa mtu mwenye hasomi data, anaweza angalia mambo kama uanaspoti hivi, wapo zero. Pia ukitazama wanaomiliki uchumi wao karibu wote ni waarabu na wahindi. Pia ukiangalia upande wa masomo, Wabongo wachache sana ni international experts in any field.

Kama sisi tuna Mukhisa Kituyi, Ngugi wa Thiong'o, Makau Mutua, Prof Ali Mazrui, Dr Wangari Maathai, na kadhalika na wote wanajulikana kimataifa na wengi niliowataja ni wasomi wenye Phd. Sasa bongo isipokuwa ule mama Tibaijuka, sijui msomi mwingine. Hata rais wao ambaye anadai kuwa ana Phd ya chemistry, juzi nilifuatilia academic publications zake.

Kuna publication tu moja google scholar na pia hio publication, link yake haifanyi. Hata kimasomo wamezembea vibaya sana.
Kwani huko kwenu GDP ni chakula?
GDP zile ni namba tu wala hazina mahusiano yoyote na uhalisia wa maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom