Magufuli awaasa mabalozi wa Tanzania wajifunze kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania

Magufuli awaasa mabalozi wa Tanzania wajifunze kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania

Mkuu, naomba nikuulize

Wakati wote unapoanzisha mada ni lazima iwe chonganishi kwa Kenya na Tanzania?
Kwanini mwelekeo wa hoja zako zote ni wa kujenga chuki, utengano na ubinafsi sisi ni wananchi wa Afrika Mashariki
Binafsi nimeishi Kenya na Tanzania

Badala ya kujenga chuki jenga umoja, badala ya kubeza kosoa na rekebisha ukiweza, badala ya kuzomea na kukashifu, shauri.

Itendee haki elimu yako na utu wako na zaidi Afrika Mashariki.!!

We are tired of nonsense competition.


Hehehe!!! Tatizo akienda huko atazembea maana kuna jinsi mtu hubadilika kulingana na uliowakuta, Wakenya wakiajiriwa Tanzania huenda na ule mzuka wa uchapaji kazi Kikenya, jamaa wanakuzingua huku wakikuambia ujue huko ni Bongo na kila kitu huendeshwa kibongobongo, wanachelewa vikao bila sababu za maana, mtu anakuambia alihudhuria harusi sehemu, wakati mwingine unaandika ripoti kurasa kama 200, umezikeshea wiki kama mbili halafu unawapa rasimu (draft), na kuwapa muda wa wiki kadhaa wasome, siku unawaita kikao mjadili hiyo ripoti unakuta hakuna aliyeisoma hata ukurasa mmoja....hehehe

Ndio zao hawa na ndio maana huwa unaona wanaingia mikataba wanapigwa sana, jamaa anapewa mkataba wenye kurasa kama 200, anauliza wapi pa kutia saini basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu maana hili jamaa kila mada ni kuchonganisha 2 kama mbwa koko
Mkuu, naomba nikuulize

Wakati wote unapoanzisha mada ni lazima iwe chonganishi kwa Kenya na Tanzania?
Kwanini mwelekeo wa hoja zako zote ni wa kujenga chuki, utengano na ubinafsi sisi ni wananchi wa Afrika Mashariki
Binafsi nimeishi Kenya na Tanzania

Badala ya kujenga chuki jenga umoja, badala ya kubeza kosoa na rekebisha ukiweza, badala ya kuzomea na kukashifu, shauri.

Itendee haki elimu yako na utu wako na zaidi Afrika Mashariki.

We are tired of nonsense competition.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha. Hawa watu ni wa ajabu sana. Sijawahi kufika Bongo ila ni wazi kuwa ni watu wavivu sana
Hili ndio tatizo lenu wakenya wa mitandaoni hamuijui Tanzania

Sisi tunaijua kenya kindaki ndaki tumesoma na kuishi huko, endelea tu na mawazo yako finyu
 
Hahaha. Hawa watu ni wa ajabu sana. Sijawahi kufika Bongo ila ni wazi kuwa ni watu wavivu sana. Nilijua hivyo kwa kupitia takwimu za GDP tu. Yaani ni vipi wao wana watu milioni 60 na Gdp yao ni 60% ya Gdp ya Kenya, ilhali Kenya tuna watu 46 milion? Yaani kupitia takwimu tu unajua hawa ni wazembe. Hata kwa mtu mwenye hasomi data, anaweza angalia mambo kama uanaspoti hivi, wapo zero.

Pia ukitazama wanaomiliki uchumi wao karibu wote ni waarabu na wahindi. Pia ukiangalia upande wa masomo, Wabongo wachache sana ni international experts in any field. Kama sisi tuna Mukhisa Kituyi, Ngugi wa Thiong'o, Makau Mutua, Prof Ali Mazrui, Dr Wangari Maathai, na kadhalika na wote wanajulikana kimataifa na wengi niliowataja ni wasomi wenye Phd. Sasa bongo isipokuwa ule mama Tibaijuka, sijui msomi mwingine.

Hata rais wao ambaye anadai kuwa ana Phd ya chemistry, juzi nilifuatilia academic publications zake. Kuna publication tu moja google scholar na pia hio publication, link yake haifanyi. Hata kimasomo wamezembea vibaya sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu huwa nafuatilia taarifa za kwenye tv zenu aisee, kila siku lazima ziwepo ripoti 2 au tatu za watu kulia njaa!

Sasa hiyo GDP yenu inawasaidia nini hasa?

IMF juzi imewaonya juu ya madeni, deni lenu 67% ya pato la taifa.
Ardhi wanaimiliki mafisadi kina Kenyata,
Ukabila unanuka kila kona,
Sasa nyie kipi hasa mnajivunia hapo Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesifia utendakazi wa mtu binafsi, Balozi Dan Kazungu usiwe shallow kiasi hicho. Alafu anachosifiwa ndio kazi yake ambayo anaifanya inavyostahili. Sijui mabolozi wenzake kutoka Tz waliokuwepo akiyanena maneno hayo walijihisi vipi kusikia Nyang'au anasifiwa na mdosi wao, tena mbele yao. Nakumbuka mwaka uliopita mbunge Jaguar alipojaribu kueneza chuki dhidi ya watz ambao wapo Kenya, balozi wa Tz nchini Kenya hakuonekana popote wala kusikika. Ndio hao hao wanaoambiwa wamuige, badala ya kuketi maofisini bila ubunifu wowote wakingoja posho miaka nenda, miaka rudi.
Nimekuelewa sana.nimekupata, ila Wakenya mko na maneno mingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani awache kuwa raia wa middle income economy aende awe raia wa least developed economy? Doh! Hio ni ngumu kumeza jamani.
Muulize MK254 kwanini alikuwa hataki kuondoka tz hadi nguvu ya ziada ilitumika maana huyo mk254 alitelekeza hadi familia yake Kenya sasa muuliza sababu

Send by APOLO 1
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu huwa nafuatilia taarifa za kwenye tv zenu aisee, kila siku lazima ziwepo ripoti 2 au tatu za watu kulia njaa!
Sasa hiyo GDP yenu inawasaidia nini hasa?

IMF juzi imewaonya juu ya madeni, deni lenu 67% ya pato la taifa.
Ardhi wanaimiliki mafisadi kina Kenyata,
Ukabila unanuka kila kona,
Sasa nyie kipi hasa mnajivunia hapo Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
In fact tunataka tuipitishe ifike 104% na hakuna kitu mtafanya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜น
Screenshot_2020-05-21-22-52-45-46.png
Screenshot_2020-05-21-22-52-58-95.png
 
Hehehe!!! Tatizo akienda huko atazembea maana kuna jinsi mtu hubadilika kulingana na uliowakuta, Wakenya wakiajiriwa Tanzania huenda na ule mzuka wa uchapaji kazi Kikenya, jamaa wanakuzingua huku wakikuambia ujue huko ni Bongo na kila kitu huendeshwa kibongobongo, wanachelewa vikao bila sababu za maana, mtu anakuambia alihudhuria harusi sehemu, wakati mwingine unaandika ripoti kurasa kama 200, umezikeshea wiki kama mbili halafu unawapa rasimu (draft), na kuwapa muda wa wiki kadhaa wasome, siku unawaita kikao mjadili hiyo ripoti unakuta hakuna aliyeisoma hata ukurasa mmoja. Hehehe

Ndio zao hawa na ndio maana huwa unaona wanaingia mikataba wanapigwa sana, jamaa anapewa mkataba wenye kurasa kama 200, anauliza wapi pa kutia saini basi.
Bora sisi kuliko Uhuru Kenyatta yeye anapewa mkataba Wa kurasa 200 asomi chochote ni mambo ya handshake na kupiga pombe tu.

Send by APOLO 1
 
Hahaha. Hawa watu ni wa ajabu sana. Sijawahi kufika Bongo ila ni wazi kuwa ni watu wavivu sana. Nilijua hivyo kwa kupitia takwimu za GDP tu. Yaani ni vipi wao wana watu milioni 60 na Gdp yao ni 60% ya Gdp ya Kenya, ilhali Kenya tuna watu 46 milion?

Yaani kupitia takwimu tu unajua hawa ni wazembe. Hata kwa mtu mwenye hasomi data, anaweza angalia mambo kama uanaspoti hivi, wapo zero. Pia ukitazama wanaomiliki uchumi wao karibu wote ni waarabu na wahindi. Pia ukiangalia upande wa masomo, Wabongo wachache sana ni international experts in any field.

Kama sisi tuna Mukhisa Kituyi, Ngugi wa Thiong'o, Makau Mutua, Prof Ali Mazrui, Dr Wangari Maathai, na kadhalika na wote wanajulikana kimataifa na wengi niliowataja ni wasomi wenye Phd. Sasa bongo isipokuwa ule mama Tibaijuka, sijui msomi mwingine. Hata rais wao ambaye anadai kuwa ana Phd ya chemistry, juzi nilifuatilia academic publications zake. Kuna publication tu moja google scholar na pia hio publication, link yake haifanyi.

Hata kimasomo wamezembea vibaya sana.
GDP ya Kenya 80% ni Mali ya mabeberu only 20% ndiyo mali ya wakenya tofauti na yatz 20% ndiyo ya mabeberu and 80% ni Mali ya watz

Send by APOLO 1
 
Tungeboronga si utabiri wa Melinda ungetimia kwetu!!! Ila the fun fact ni kuwa mnatuponda then baadaye mnapita njia mulemule tulimopita....Soon mtaelekea Madagascar ๐Ÿ˜…

Madagascar mbona tulianza kujadili nao hata kabla yenu, sisi tunaskliza wataalam na kufuata ushauri wao na ndio maana hatujakurupuka kutuma ndege kama mlivyofanya kisha vikombe vikaishia kunywewa na wakubwa, makajamba wakaachwa wajifie.
 
Amesifia utendakazi wa mtu binafsi, Balozi Dan Kazungu, usiwe shallow kiasi hicho. Alafu kilichofanya amsifie ndio kazi yake, ambayo anaifanya inavyostahili. Sijui mabolozi wenzake kutoka Tz waliokuwepo akiyanena maneno hayo walijihisi vipi, waliposikia Nyang'au anasifiwa na mdosi wao, tena mbele yao. Nakumbuka mwaka uliopita, mbunge Jaguar alipojaribu kueneza chuki dhidi ya watz, ambao wapo Kenya, balozi wa Tz nchini Kenya hakuonekana popote wala kusikika. Ndio hao hao wanaoambiwa wamuige, badala ya kuketi maofisini bila ubunifu wowote ule wakingoja posho, miaka nenda, miaka rudi.

Mie nafikiri message ilikuwa kwamba hao akina Kingu wanatakiwa wakafanye kazi kama Dr Slaa anavyofanya kazi hivi sasa na sio waende kukaa kimya pale maslahi ya Tz yanapoguswa
 
Kenya ndio middle income economy? Labda mnatuzid kingereza tuu mengineyo ni majanga.

Yaani awache kuwa raia wa middle income economy aende awe raia wa least developed economy? Doh! Hio ni ngumu kumeza jamani.

komesha korona
 
Kenya ndio middle income economy? Labda mnatuzid kingereza tuu

Komesha korona
Hakuna Kiingereza chochote wanachojua hawa nyang'au mufilis!

Wasikubabaishe na hicho kizungu-koko cha hapa na pale!

Hawa ni wale tujibwa tudogo twa muzungu. Borris akipiga mruzi kutoka London wote wanakuja mbio wakitikisa mikia na kumsujudia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akifanya vizuri inapasa kumsifia hata kama mtoto wa jirani yako, kwa hapo rais amefanya uungaana kabisa
 
It's not that the Kenyan ambassador did anything spectacular. What impressed magufuli is the proactive nature(kujituma) of the Kenyan ambassador.

He called a press conference, wasn't afraid to take questions from the press, he was very eloquent and stuck to the message absent of any gaffes. He was proactive and efficient. That is what impressed magufuli as it should. When was the last time a Tanzanian ambassador held a press conference? Seriously asking.
 
Yaani Kenya imekufa kifo cha mende, na huyu balozi akili hii ni ya kitanzania siyo ya kikenya. Kenya kuanzia Uhuru, Odinga, Waziri wa afya, wakuu wa majimbo wametoka na kuanzisha matamko mbalimbali dhidi ya watanzania. Kuna bogus mmoja alifikia hatua ya kusugest KDF itumike kudhibiti watanzania mipakani, mara ng'ombe na mahindi visichukuliwe Tanzania, mahindi mkatangaza kufuata Canada. Madereva wetu mkawanyanyasa, kila dereva ana corona.

Tukamtuma mkuu wa mkoa wetu Martine Shigella atikise kiberiti tu, sasa kati ya wajinga wote ni balozi aliyeonesha kuelewa umuhimu wa nchi zetu kutotengana na kesho yake mlewaji wenu akampigia magufuri wakayamaliza, na sasa tunasubiri mawaziri waweke mambo sawa.

Kwa hakika balozi kazungu amekomaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom