Magufuli awaasa mabalozi wa Tanzania wajifunze kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania

Wewe hiyo GDP imekusaidia nini wakati tabu unazoface ni sawa na anazokutana nazo mtu wa Mogadishu??!! Starvation, power rationing, water shortage etc vitu ambavyo mtu wa Njombe haviwazi hata!!!
 
Seriously ni Tibaijuka Tu ndo unaemjua?..duh..
Shame on you..
 
Seriously ni Tibaijuka Tu ndo unaemjua?..duh..
Shame on you..
 
Waonee huruma. Watu wataelewa vipi kwa kufundishwa kemia kwa lugha ya Kiswahili. Si balaa tupu? Ndo maana suala la janga la Corona lawapiga chenga kweli!
 
Unaimba wimbo wa ardhi na wakati wewe umekodi ardhi kutoka kw ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ina watu ambao ni MASKINI kweli (really poor)!! Ukiwa
MASKINI kenya hata baba yako alikuwa MASKINI na watoto wako watakuwa MASKINI. Sababu hawana the real asset ambayo ni ardhi. Unakuta mtu alizaliwa nyumba ya makaratasi na yeye anakulia humo mpaka watoto wake wanaishi maisha hayo.
Tanzania hakuna watu ambao ni really poor. Ila tunasema ni pseudo-poverty! Au umaskini bandia!! Kila mtu Tanzania ana uwezo wa kumiliki ardhi kama hekta 5 kwa kiwango cha chini.
Chini ya Magufuli huu umaskini bandia ulioko hasa akilini unaondolewa kwa kasi. Watu wanachapa kazi haijawahi kutokea! Tanzania is a potential economic giant! While Kenya is slowly coming down and heavily afflicted with debts, Tanzania is coming up while avoiding unnecessary debts!! We can afford to say no imperialists!!!
 
Lakini wazee wa GDP msisahau kwamba deni la nchi ya Kenya ni sawa na 60% ya pato la taifa na bado mnakopa kuhudumia mass testing.
Lkn ukumbuke hilo deni letu ni sawa na uchumi wote wa tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
Nynyi mkifika level hyo mtakuwa sakrati, yani nchi ndio inakufa na kuzikwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UJINGA wa KUKOLEA TZ πŸ˜‚πŸ˜‚.Hivi unadhani mbona nyie Bado mpo LDC na sisi tuko MIC? Moja wapo ya vigezo ku classify nchi hivi ni kuangalia watu wangapi wametolewa kutoka ufukara. Nyie kuwa LDC ina maana mna maskini wengi sana wa kutupwa. Sisi pia tuna maskini lakini sio jinsi mlivyo. Poverty rate Kenya ni 32% whereas TZ ni more than 40%. Kwa hivyo hii injili yako BUDA PELEKA HUUKOO. (shout out WAKADINALI) 😹.

Umaskini si jambo la kufurahia wala kudhihaki. Sisi wote ni poor countries kwa mtazamo wa kidunia. Huo wimbo wa kuipiku Kenya walisikika mababu zenu wakikariri na sasa wajukuu wamechukua usukani. TZ kuipiku KE labda in another LIFETIME. Au labda katika enzi za vitukuu wa wajukuu wako. πŸ˜‚
 
Unaweza kuta mbwembwe zote izi kashindia mawe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
It is a common strategy in realism. Keep your friends close and your enemies closer. As Tony stark would say keep your friends rich and your enemies rich then wait to discover which is which.
I can assure you, Kenya's interest will always override any regional interest. Unlike our neighbors, Kenya does not react on impulse but take time to analyse and calculate their next move.
When Magufuli got in office he fought Kenya, but for the last two years they have run a deficit against Kenya in trade.
Kenya is not out to win battles but the war.
"Kula pole pole ukule siku mingi"
 
magu kawaumiza alafu anawasifia

Sent using Jamii Forums mobile app
Amesifia utendakazi wa mtu binafsi, Balozi Dan Kazungu, usiwe shallow kiasi hicho. Alafu kilichofanya amsifie ndio kazi yake, ambayo anaifanya inavyostahili. Sijui mabolozi wenzake kutoka Tz waliokuwepo akiyanena maneno hayo walijihisi vipi, waliposikia Nyang'au anasifiwa na mdosi wao, tena mbele yao. Nakumbuka mwaka uliopita, mbunge Jaguar alipojaribu kueneza chuki dhidi ya watz, ambao wapo Kenya, balozi wa Tz nchini Kenya hakuonekana popote wala kusikika. Ndio hao hao wanaoambiwa wamuige, badala ya kuketi maofisini bila ubunifu wowote ule wakingoja posho, miaka nenda, miaka rudi.
 
Remember he also praised the DCI (Directorate of criminal investigations) for returning their minerals that were stolen.
Keep in mind Machiavelli "If you are to reward a person, do not give all the gifts at once, but give it in small amounts for your generosity to be appreciated".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…