Wewe hebu angalia hili suala la corona wanavyoboronga, unashangaa jameni nchi haina wataalam wanasayansi wa kutoa muongozo na ushauri, kila mtu anabwatuka chochote.
😅😅😅 Ningeshangaa hadi sahivi hawajaenda tu!!!Walishaenda Madagascar kimya kimya.
Wajifie!! wanafia wapi?Madagascar mbona tulianza kujadili nao hata kabla yenu, sisi tunaskliza wataalam na kufuata ushauri wao na ndio maana hatujakurupuka kutuma ndege kama mlivyofanya kisha vikombe vikaishia kunywewa na wakubwa, makajamba wakaachwa wajifie.
Mtafute prof Muhongo.Hahaha. Hawa watu ni wa ajabu sana. Sijawahi kufika Bongo ila ni wazi kuwa ni watu wavivu sana. Nilijua hivyo kwa kupitia takwimu za GDP tu.
Yaani ni vipi wao wana watu milioni 60 na Gdp yao ni 60% ya Gdp ya Kenya, ilhali Kenya tuna watu 46 milion? Yaani kupitia takwimu tu unajua hawa ni wazembe. Hata kwa mtu mwenye hasomi data, anaweza angalia mambo kama uanaspoti hivi, wapo zero. Pia ukitazama wanaomiliki uchumi wao karibu wote ni waarabu na wahindi.
Pia ukiangalia upande wa masomo, Wabongo wachache sana ni international experts in any field. Kama sisi tuna Mukhisa Kituyi, Ngugi wa Thiong'o, Makau Mutua, Prof Ali Mazrui, Dr Wangari Maathai, na kadhalika na wote wanajulikana kimataifa na wengi niliowataja ni wasomi wenye Phd. Sasa bongo isipokuwa ule mama Tibaijuka, sijui msomi mwingine.
Hata rais wao ambaye anadai kuwa ana Phd ya chemistry, juzi nilifuatilia academic publications zake. Kuna publication tu moja google scholar na pia hio publication, link yake haifanyi. Hata kimasomo wamezembea vibaya sana.
Mkenya kabla ya kumpa kazi unapaswa uanze kwa kuandaa prison iliyo na maximum security ya kumpeleka kwa kosa la wizi.Hehehe!!! Tatizo akienda huko atazembea maana kuna jinsi mtu hubadilika kulingana na uliowakuta, Wakenya wakiajiriwa Tanzania huenda na ule mzuka wa uchapaji kazi Kikenya, jamaa wanakuzingua huku wakikuambia ujue huko ni Bongo na kila kitu huendeshwa kibongobongo, wanachelewa vikao bila sababu za maana, mtu anakuambia alihudhuria harusi sehemu, wakati mwingine unaandika ripoti kurasa kama 200, umezikeshea wiki kama mbili halafu unawapa rasimu (draft), na kuwapa muda wa wiki kadhaa wasome, siku unawaita kikao mjadili hiyo ripoti unakuta hakuna aliyeisoma hata ukurasa mmoja. Hehehe
Ndio zao hawa na ndio maana huwa unaona wanaingia mikataba wanapigwa sana, jamaa anapewa mkataba wenye kurasa kama 200, anauliza wapi pa kutia saini basi.
Hata kwenye maximum security atakuibia tu wewe mtzMkenya kabla ya kumpa kazi unapaswa uanze kwa kuandaa prison iliyo na maximum security ya kumpeleka kwa kosa la wizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkenya kabla ya kumpa kazi unapaswa uanze kwa kuandaa prison iliyo na maximum security ya kumpeleka kwa kosa la wizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kukodi ardhi kw ccm tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wewe hata hilo shamba la kukodi unalo kweli hapo kwa "Kinyata" au unaishi kwa hisani ya michemsho ya githeri za kuokota majalalani? [emoji23]
Na venye mipaka imefungwa buda, utakula mpaka nnya!
Sent using Jamii Forums mobile app
60% ya $100 bn ni sawa na uchumi wote wa tanzania[emoji1787][emoji1787] na bado nchi haiyumbishwi kijinga kiuchumi, ile siku mtadaiwa madeni kiasi hicho tanzania kwishnehi[emoji23][emoji23][emoji23]Alisikika mama la mama kutoka ubeberuni[emoji1787][emoji1787]
Kama ambavyo kenya imekwisha[emoji16][emoji16][emoji16]. Hivi ile bandari kubwa kule lamu imefikia hatua gani[emoji846][emoji846][emoji846]60% ya $100 bn ni sawa na uchumi wote wa tanzania[emoji1787][emoji1787] na bado nchi haiyumbishwi kijinga kiuchumi, ile siku mtadaiwa madeni kiasi hicho tanzania kwishnehi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo miaka yote mmeshindwa kum overtake mtu ambaye amekwisha tayari..[emoji23][emoji23][emoji122]kama ambavyo kenya imekwisha[emoji16][emoji16][emoji16].
hivi ile bandari kubwa kule lamu imefikia hatua gani[emoji846][emoji846][emoji846]
Utakuwa haiUJINGA wa KUKOLEA TZ [emoji23][emoji23].Hivi unadhani mbona nyie Bado mpo LDC na sisi tuko MIC? Moja wapo ya vigezo ku classify nchi hivi ni kuangalia watu wangapi wametolewa kutoka ufukara. Nyie kuwa LDC ina maana mna maskini wengi sana wa kutupwa. Sisi pia tuna maskini lakini sio jinsi mlivyo. Poverty rate Kenya ni 32% whereas TZ ni more than 40%. Kwa hivyo hii injili yako BUDA PELEKA HUUKOO. (shout out WAKADINALI) [emoji81].
Umaskini si jambo la kufurahia wala kudhihaki. Sisi wote ni poor countries kwa mtazamo wa kidunia. Huo wimbo wa kuipiku Kenya walisikika mababu zenu wakikariri na sasa wajukuu wamechukua usukani. TZ kuipiku KE labda in another LIFETIME. Au labda katika enzi za vitukuu wa wajukuu wako. [emoji23]
Lengo letu sio kuwa na GDP kubwa au kumu overtake kenya,GDP ni tarakimu tu.tunachotaka ni maisha bora kwa wanachi.Kwhyo miaka yote mmeshindwa kum overtake mtu ambaye amekwisha tayari..[emoji23][emoji23][emoji122]
Yani hii comment imedhihirisha uzembe wenu..
Nchi ina madeni sawia na uchumi wenu lkn bado inawatoa pumzi[emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hko bado pia mko nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]lengo letu sio kuwa na GDP kubwa au kumu overtake kenya,GDP ni tarakimu tu.tunachotaka ni maisha bora kwa wanachi.
As i said,lengo sio kuwazidi nyinyi maana nyinyi pia bado ni tia maji.
Kwani huko kwenu GDP ni chakula?Hahaha. Hawa watu ni wa ajabu sana. Sijawahi kufika Bongo ila ni wazi kuwa ni watu wavivu sana. Nilijua hivyo kwa kupitia takwimu za GDP tu. Yaani ni vipi wao wana watu milioni 60 na Gdp yao ni 60% ya Gdp ya Kenya, ilhali Kenya tuna watu 46 milion? Yaani kupitia takwimu tu unajua hawa ni wazembe.
Hata kwa mtu mwenye hasomi data, anaweza angalia mambo kama uanaspoti hivi, wapo zero. Pia ukitazama wanaomiliki uchumi wao karibu wote ni waarabu na wahindi. Pia ukiangalia upande wa masomo, Wabongo wachache sana ni international experts in any field.
Kama sisi tuna Mukhisa Kituyi, Ngugi wa Thiong'o, Makau Mutua, Prof Ali Mazrui, Dr Wangari Maathai, na kadhalika na wote wanajulikana kimataifa na wengi niliowataja ni wasomi wenye Phd. Sasa bongo isipokuwa ule mama Tibaijuka, sijui msomi mwingine. Hata rais wao ambaye anadai kuwa ana Phd ya chemistry, juzi nilifuatilia academic publications zake.
Kuna publication tu moja google scholar na pia hio publication, link yake haifanyi. Hata kimasomo wamezembea vibaya sana.