Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 673
- 865
Kwa akili hizo inaelekea hata walimu wako shuleni ulikuwa unawaona makatili maana wanakuchapa kila ukileta ujinga na saa zingine wanakuchangia ofisi nzima ya waalimu kukuchapa mpaka ngozi inachanika.Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Aliua alitesa na kupoteza watu
Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.
Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Walikuwa makatili sana, au sio?
Au umesoma "international" weye?
Vipi na wazazi wako - hususani mshua - hakuwaga mkatili kukumiminia bakora ukileta ujinga?