Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Huko ahera Magufuli yuko bweni moja na Adolph Hitler, Mussolini, Iddi Amini na BokassaWamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Aliua alitesa na kupoteza watu
Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.
Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!