Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.

Unasema wasiopenda nani hapendi. Kuna tabia ya kutafuta wachawi😂
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
kiwahili kilitakiwa kianze kwevye ilo tangazo ndiyo kingereza kifuatie hapo angekuwa mwenyewe lazima huyo msomi feki aliye andika mapendekezo ya ilo bango angetumbuliwa ni upumbavu kutanguliza kingereza kisha kiswahili tena kwa jambo linalo muhusu JPM maana yeye aliweka kiswahili mbele
 
Hakuna cha kutanguliza kiswahili, kifupi Jiwe kingereza kilikuwa kinampiga chenga.
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.

tuache kupoteza mda kuongelea wafu
 
watu ambao hamjatembea na kuona miji ya wenzetu ilivyojengwa mna matatizo sana kiakili. Kuna kitu gani cha ajabu hapo hata ukukane watu?
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.

Vipi chato
 
Kipindi chote cha ujenzi na wakazi wengi wa Dodoma tunapajua kama Mji wa Kiserekali... hii Magufuli City inayotafsiriwa Kama Mji wa Magufuli.. mwandishi ni nani?
 
17 KM

HILI CITY NINAWEZA KUJENGWA NA FEDHA ZA MWANAMKE MMOJA ANAMILIKI BILION 6,789,823 KWENYE BANKI AKAUNTI BADO MWANADAMU ANAFIKIRI KUNA MTU MALI... HUYU MWANAMKE BADO YUPO CRDB BANKI
6bn inajenga kajengo kamoja tu
 
Back
Top Bottom