Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820

Tunaharibu nchi yetu kwa kumuenzi mtu kama huyu.
 
Umesema wewe hayo. Kwani nani alikuambia kuwa kila kitu lazima kipekee jina la mtu?
Stand ya Mbezi ilikuwa lazima iitwe Magufuli au ni ushamba tuu?
Soko la Dodoma Ndugai kwa sababu zipi wakati wapo wakongwe wa Dodoma kama mtemi Mazengo nk?
Jiwe alikuwa kiatu kwelikweli!

ulishawahi kumwona wapi malaya akatosheka, nyie malaya tu, hata lingeandikwa hilo jina la mkongwe Mazengo huyo, mnelibwatuka tu,

Mlibwatuka ufisadi wa Lowassa, mlisema hatai popote, lakini mlivyomalaya, mkampokea na kumfanya awe Kiongozi wenu mkuu

Chadema malaya wakubwa ninyi!!😂
 
Wewe siyo Mahakama ila zitakapopatikana Mahakama huru hata Kama siyo kwenye Utawala huu wa CCM, tutarudi hapa tukuwekee ushahidi. Muuaji wa Ben Saanane ni Mwendazake
Ni kazi sana kumwelewesha MTU asiyejitambua
 
Kwenye mamiladi ya ghafla ghafla na mapesa mengi alikua anakopa bila woga au uruma mpaka deni la Taifa fikia tirion 70 ,Ndo alikua anapigia 10% na watu wake za kununulia jogoo mpaka laki moja
Kakope na wewe uiinue chadema
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820

Magufuli kumbe alikuwa na ndege zake ?
 
Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.

Aliua alitesa na kupoteza watu

Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.

Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
pewa kinywaji na muhudumu alete bill kwangu haraka sana, jiwe atabaki kuwa shetani aliyetesa na kuua mamia ya watu waiokuwa na hatia, hata si wajenge bingu waiite hio bingu magufuri heaven, wajinga sana hao jamaa
 
Kwani kila anayepotea ni raisi ndo kamchukua? Acheni unafiki twende na wakati
Kwa nini kila zuri anatwishwa raisi, hata kama halimuhusu moja kwa moja? Na baya hatakiwi atwishwe yeye, kama ilivyo kwa mazuri?

Ni uhalisia wa kisiasa anapopotezwa mwanasiasa au mpinga utawala ni wazi mtu huyo amepotezwa na mkono wa serikali kwa kua tishio kwa namna moja au nyingine.

Ingelikua ni wa kuaminika ni mpenda wa tz na hahusiki na kupotea kwa watu hao kama tu kungefanyika uchunguzi kubaini chanzo na hatma ya wahanga hao. Kukaa kimya kwake ndio chanzo cha kutwishwa mzigo huu.

Siasa ni sawa na vile viatu vya kimasai maarufu katambuga/sendeu/nginyara. Huelewi mbele wala nyuma mpaka uone kimevaliwa.
 
Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.

Aliua alitesa na kupoteza watu

Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.

Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Alimuua baba yako na mama yako?
 
Back
Top Bottom