Lelyonka
Senior Member
- Apr 14, 2021
- 156
- 154
Achana naye Huyo, anafikiria bila kutumia akili yake.
Mait au kaburi zao ziko wapi km unaamini walishakufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mait au kaburi zao ziko wapi km unaamini walishakufa?
Kuna ushahidi gani kama alitupa yeye? Au alihusikaje?Vile viroba vilikuwa vinatupwa baharini na mto Ruvu vikiwa na miili ya binadamu hukuwahi kusikia au kuona kwenye vyombo vya habari?
Eti Magufuli City,Duh...huyu jamaa ilikuwa ni lazima afe mapema kabla ya muda wa Mungu,kwa sababu alizidi mno kujitukuza, halafu wafuasi wake wote vi vilaza wa kutupwa.Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820
bado mnateseka mioyoni mwenu,je yanini kumsujudia mwanadamu ilhali yeye ni mtu tu ka wewe?Nanyi mmeanza lini kuwacheka wafu!??? Au nyie ndio wauaji wake au waumbaji wa uhai au mna guarantee ya immortality!???
bado wana hangoverEti Magufuli City,Duh...huyu jamaa ilikuwa ni lazima afe mapema kabla ya muda wa Mungu,kwa sababu alizidi mno kujitukuza, halafu wafuasi wake wote vi vilaza wa kutupwa.
Magufuli City hata haina mvuto,hata kwa watalii ,ingekuwa "NYERERE CITY" ingeleta maana,kwa sababu Nyerere aliondoka Duniani akiwa na heshima kubwa na si huyo Dikteta uchwara ambaye hata Dikteta mwenzake Kagame aligoma kuja kumzika,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mataga mna tabu sana.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
acha kuweweseka uyo ndugu yenu ashadediMajizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.
Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.
Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
Shetani ni shetanj,Mungu Baba ashukuriwe kwa kutuondolea shetani.Mbuzi wa sherehe ww
Na siku utawala wa ccm ukiangushwa majina yote waliyoyapa kwa rasilimali zetu tutafuta na kubatiza upya kama walivyo fanya DRC baada ya kumpiga chini Mobutu.Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Aliua alitesa na kupoteza watu
Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.
Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Mtaangushwa na konyagi msingizie wasiojulikana mpaka mkome.Na siku utawala wa ccm ukiangushwa majina yote waliyoyapa kwa rasilimali zetu tutafuta na kubatiza upya kama walivyo fanya DRC baada ya kumpiga chini Mobutu.
Hata Ujerumani huwezi kukuta jina la Hitler au wale wasaidizi wake kwenye chama cha NAZI au GESTAPO.
Huyu hana hadhi hata ya choo cha stand kupewa jina lake
Bila shaka hiyo itakuwa ni ibada ya sanamu.Well well well
What about his statue ?
Duuh! umenikumbusha masanamu ya marehemu mzee Karl Max yalivyokua yanaangushwa kwa kutumia crane huko nchi za ulaya ya mashariki baada ya siasa zenye mlengo wa kikomunist kushindwa,hiyo ilikuwa ni mwishoni mwa miaka ya 90.Na siku utawala wa ccm ukiangushwa majina yote waliyoyapa kwa rasilimali zetu tutafuta na kubatiza upya kama walivyo fanya DRC baada ya kumpiga chini Mobutu.
Hata Ujerumani huwezi kukuta jina la Hitler au wale wasaidizi wake kwenye chama cha NAZI au GESTAPO.
Huyu hana hadhi hata ya choo cha stand kupewa jina lake
CCM iko palepale? Kumpelekea Sabaya sabuni huko Kisongo maana kila akiangusha haipatikani tena shauri za kazi ya nyapala. Mtaishia jela wote nyieMtaangushwa na konyagi msingizie wasiojulikana mpaka mkome.
Ccm iko palepale
Halafu yawekwe ya Mbowe na Msigwa au Lissu siyo?😛Na siku utawala wa ccm ukiangushwa majina yote waliyoyapa kwa rasilimali zetu tutafuta na kubatiza upya kama walivyo fanya DRC baada ya kumpiga chini Mobutu.
Hata Ujerumani huwezi kukuta jina la Hitler au wale wasaidizi wake kwenye chama cha NAZI au GESTAPO.
Huyu hana hadhi hata ya choo cha stand kupewa jina lake
Wewe siyo Mahakama ila zitakapopatikana Mahakama huru hata Kama siyo kwenye Utawala huu wa CCM, tutarudi hapa tukuwekee ushahidi. Muuaji wa Ben Saanane ni MwendazakeHebu weka ushahidi ili tuufanyie Nazi. Vinginevyo nawe utakuwa mhalifu km wahalifu wengine tu.
Umesema wewe hayo. Kwani nani alikuambia kuwa kila kitu lazima kipekee jina la mtu?Halafu yawekwe ya Mbowe na Msigwa au Lissu siyo?[emoji14]