Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
machadema hapo yatabatiza jina la "mwendazake city".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820
UmemalaWamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Aliua alitesa na kupoteza watu
Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.
Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Hata shetani ana wafuasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo nyumbu hawezi kuelewa hilo
Kwa hiyo ndiyo atafufuka? Mbona wajane wa dhalim mnateseka sana?Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lissu anaingiaje kwenye jiji la Magufuli?Lisu ameolewa lakini bado ana wafuasi kama wewe
Kuna kitu kigumu unapitia wewe sio bure. Pole Sana.Tusidanganyane Magufuli City au Mji wa Serikali wa Mtumba utopolo mtupu. Manyumba yamejengwa hovyo, barabara za vumbi, huduma za jamii shida hivyo basi kuwa changamoto kwa wafanyakazi.
Kwa namna hali ya fedha ilivyo sioni namna RAIS SSH kama kuendeleza utopolo wa mji huo unaoitwa Magufuli city
ama kweli we Mtu mzima HovyoVipi ule mpango wa kuanzisha kundulisu City ulifikia wapi[emoji2]
Onyesha hata choo cha shimo tu cha chadema walichojenga siyo kuropoka ty mzee!Kuna kitu kigumu unapitia wewe sio bure. Pole Sana.
Alieanzisha uzi kaweka na Vedio ya katibu mkuu akiongelea ujenzi wa barabara za Lami KM51 zikiwa asilimia 70. Afu wewe imasema barabara za vumbi?
hata awamu zilizopita waliuaWamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Aliua alitesa na kupoteza watu
Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.
Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Ukiacha walio verified wengine wote tunaotumia fake ID hatuna gender tofauti. Wote gender yetu ni fake IDZaa kwanza hiyo mimba
Alimuua Ben Saanane, Azory Gwanda, wale 300 wa MKIRU na alimuru Lissu ashambukiwe kwa risasi 16Ndugu yangu. Punguza ukali wa maneno, utakugharimu siku moja we we! Hebu tupatie huo ushahidi wa mauaji na ukatili alioufanya ili tuuoganaizi na kumkabidhi Mama na vyombo vyake vya dola ili aufanyie kazi. Tafadhali Siku nyingine usirudie, acha utoto kabisa!