Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

ingekuwa ni utashi wangu ningesema huu ni Mji wa JK - ni YEYE aliyeamua Mji huu ujengwe hapo badala ya kule maeneo ya UDOM!
Kuamua ni tofauti na kujenga.

Aliamua alafu likabaki pori tu
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
hovyooooooooo
 
Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.

Aliua alitesa na kupoteza watu

Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.

Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
hakuna nafasi ya kustarehe kwa wahuni na wapuuzi.

hata awamu hii ya 6.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
Watu wa mtandaoni Wana mwonekano gani,ama ni wa nchi au bara gani.
 
TISS tunawatafuta washenzi kama nyinyi mnaomsifu Hayati ambaye kimsingi angeidondosha nchi kama angeendelea kutawala.
 
Kwa hiyo Dodoma itakuwa na majiji mawili au wamegawa mkoa?

Mataga mnakazi sana
 
Ukifa wewe utaoza siku hiyohiyo. JPM anaendelea kuishi kwenye mioyo ya watu na kwenye uso wa dunia.
Mfano ni hapo Magufuli City.
Tusidanganyane Magufuli City au Mji wa Serikali wa Mtumba utopolo mtupu. Manyumba yamejengwa hovyo, barabara za vumbi, huduma za jamii shida hivyo basi kuwa changamoto kwa wafanyakazi.

Kwa namna hali ya fedha ilivyo sioni namna RAIS SSH kama kuendeleza utopolo wa mji huo unaoitwa Magufuli city
 
Ninyi wenye ku-comment hv mnajulikana na mmegawanyikama makundi matatu

1. Fisadi la maofisini

2. Vyeti feki

3. wafanyabiashara wakwepa kodi

JPM was right
Wengine humu ni maofisa usalama wenye kazi maalumu ya ku shape public opinion.

Wako kwa kazi moja kubwa ya kumjaza samia kwenye fikra za watu.
 
Tusidanganyane Magufuli City au Mji wa Serikali wa Mtumba utopolo mtupu. Manyumba yamejengwa hovyo, barabara za vumbi, huduma za jamii shida hivyo basi kuwa changamoto kwa wafanyakazi.

Kwa namna hali ya fedha ilivyo sioni namna RAIS SSH kama kuendeleza utopolo wa mji huo unaoitwa Magufuli city
Zaa kwanza hiyo mimba
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
Keshaoza huko chato mnahangaika bure, ameshakutana na aliowaua
 
angeidondosha nchi kama angeendelea kutawala.
Angeidondosha nchi ama angewadondosha MAJIZI?

Afu sijui kwanini nyie majizi huwa mara zote mnahisi mna upako wa kuwa watu spesheli kwenye hii nchi?

Magufuli aliwashughulikia mkaanza kulia liaa... oooh tunateswa na dikteta!

Kumbe hata nyie majizi huwa mnaumia mkibinywa kidogo?
 
Maiti haina rafiki
Naona vinjia vya ombaomba ndo mnaita city. Vumbi jua full ngozi kukakamaa.
Mambo yote yapo Dar es Salaama
Mungu anaipenda sana Tanzania kaua shetani Magufuli.
Rest in hell shujaa wa Wasukuma Gamboshi.
 
JPM katoweka duniani, wanaompenda watatoweka duniani, alichojenga kitatoweka duniani au kitasahaulika siku moja au hakitajulikana ni nani alifanya, wasiompenda watatoweka duniani na mambo yao.

Yalijengwa mapyramid na leo haijulikani ni nani aliyaweka hapo.

Tuache kupigana kwa yanayopita tufurahie zawadi ya maisha kwa amani na haki.
 
Back
Top Bottom