mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Wamtafute Yule WA Kigwangala aliemchonga Nyerere.Well well well
What about his statue ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamtafute Yule WA Kigwangala aliemchonga Nyerere.Well well well
What about his statue ?
We jasusi la "twirrah" niaje?Where is he now? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820
Kuua watu kwa maslahi ya nchi sidhani kama ni tatizo.Aliyoyafanya ya kuua watu na kutesa watu unadhan watu wasifurahi!mbona nyir wenyewe mmeanza kufunguka huko bungeni? Mnaropokwa balaa...mtuache
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820
Mitano tena.kwio
Tutaongea na mama abadilishe jina... paitwe Mwendazake City
NWamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Aliua alitesa na kupoteza watu
Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.
Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Sisi ndio tumemuwekea sasa.Nasikitika kwanini aliwaacha wapuuzi kama nyie ilibidi muwekewe na pipe huko nyuma.
Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Aliua alitesa na kupoteza watu
Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.
Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Aliyoyafanya ya kuua watu na kutesa watu unadhan watu wasifurahi!mbona nyir wenyewe mmeanza kufunguka huko bungeni? Mnaropokwa balaa...mtuache
Ukiwa mjinga ni mjinga tu.
Wapo waliokuwa wanachapwa viboko mashuleni na walimu i.e hesabu na kuwachukia walimu hao na kuwapa majina machafu kama mnavyofanya leo na wanakula matunda kwa uvumilivu wao.
Huko ujerumani na Itatia wapo waliomchukia Hitler na Msolini kwa ukatili wao lakini leo wanachekelea maendeleo ya nchi zao
Afrika wapo waliowachukia wakoloni kwa ukatili wao wakati wa ujenzi wa miundombinu i.e. reli lakini leo wanachekelea na kuitumia.
Kagame angewasikiliza Wanyarwanda wanvyotaka wasingekuwa hapo kimaendeleo.
Wkoloni wangewasikiliza Waafrika tunavyotaka hata reli tusingekuwa nazo leo.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo Waafrika tumezoea kusukumwa bila hivyo hatufanikiwi Rais Magufuri alikuwa sahihi kwani hata dini tunazojifanya ni zetu na kuziabudu tumezipokea kwa ukatili wa hali ya juu.
Tuache mideko maendeleo ni vita siyo lele mama!
Na sasa atakuwa ameshapewa ukiranja wa malaika kama alivyoomba! siku ukifa utakutana nae.. hahahaaa!Tutamkumbuka kwa kuteka na kuua SHETANI MWENDAKUZIMU a.k.a IDD AMIN II KUTOKA CHATO.
Comment ya kipungu kuliko zote nilizowahi kuzisoma! Mfyuuuuuu!
Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli (may his precious soul rest in eternal peace and power 🙏), ni rais atakayekumbukwa kwa vizazi vingi vijavyo kuwa ni rais aliyewapenda wananchi wake kama baba anavyowapenda na kuwalea watoto wake responsibly, na kwamba hakuwa na uvumilivu kwa yeyote aliyejaribu kuwaonea au kuwanyanyasa wananchi wake hasa wanyonge🤔, rais aliyeamini na kutekeleza dhana ya kujitegemea na 'value for 💰 na hivyo kuvunja rekodi ya kuipaisha kiuchumi Tz ktk kipindi ambacho dunia yote iliporomoka kiuchumi na kuifikisha uchumi wa kati! Kwa upande mwingine, atakumbukwa kwa kuwa adui mkuu wa mafisafi, wababaishaji(wafoji vyeti/vyeti feki, wezi, waonevu na wanyanyasaji wa watz wanyonge!
Hili kundi kwa upumbafu wao ndilo hasa litamkumbuka kwa kumchukia na kumuona katilo!
We Babu hujasikia katazo la jina hili?
[emoji28][emoji28][emoji28] acheni mzee wa Watu Apumzike aaahhh Kwani hizi hela alitoa mfukoni. Malizeni Matanga Harudi huyo atiii
Ile kamati ya amani walikua wamelewa, na wengine kwenye ile kamati ni wavuta bange hata misamiati hawaijui maana yake