Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.

Aliua alitesa na kupoteza watu

Hata apakwe mafuta vipi atabaki kwenye historia hiyo.

Hata umchole kwenye choo yako ili ukienda kunya uwe unamsalimia historia haitabadilika!!
Kama aliua na kutesa mafisadi na wezi ni sawa tu!
 
Walizoea kula teuzi kiaina hilo halipo jamaa yao analamba vumbi huko mavumbini no teuzi
Tunaongozwa na Averages minds sana, ukiwaona kama akili kubwa kumbe na viazi mbatata kabisa jamaa wanajipendekeza mpaka wanatia aibu, ilifika mahala zile live coverage nikawa siangalii maana kama huyo Jafo alikua akianza kusifia mpaka nnaona aibu mimi
 
Siasa za Africa mara nyingi sana zinashindwa kujikita kwenye hoja, zinajikita kwenye kujadili watu kwa viroja.

Mfano, badala ya kuongelea habari za jinsi gani mji huu utaongeza ajira, utaboresha miundombinu, utakarabati njia za usafiri, utaongeza biashara, utaongeza makazi bora, utanufaisha jamii, utachangia kwenye pato la taifa, mtu anajikita kwenye mipasho ya "wasiompenda kuteseka maisha yao yote".

Hapo utaweza kuona huyo mtu hawezi kujadili mambo kwa upana wa hoja, kuangalia uchumi, kuangalia maslahi ya taifa.

Yeye kaishia kwenye mipasho.

Very myopic, tribal and ignorant.
 
Ukiwa mjinga ni mjinga tu.

Wapo waliokuwa wanachapwa viboko mashuleni na walimu i.e hesabu na kuwachukia walimu hao na kuwapa majina machafu kama mnavyofanya leo na wanakula matunda kwa uvumilivu wao.

Huko ujerumani na Itatia wapo waliomchukia Hitler na Msolini kwa ukatili wao lakini leo wanachekelea maendeleo ya nchi zao

Afrika wapo waliowachukia wakoloni kwa ukatili wao wakati wa ujenzi wa miundombinu i.e. reli lakini leo wanachekelea na kuitumia.

Kagame angewasikiliza Wanyarwanda wanvyotaka wasingekuwa hapo kimaendeleo.

Wkoloni wangewasikiliza Waafrika tunavyotaka hata reli tusingekuwa nazo leo.

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo Waafrika tumezoea kusukumwa bila hivyo hatufanikiwi Rais Magufuri alikuwa sahihi kwani hata dini tunazojifanya ni zetu na kuziabudu tumezipokea kwa ukatili wa hali ya juu.

Tuache mideko maendeleo ni vita siyo lele mama!
 
JIwe kashaenda ,nchi sasa inapumua hata mkibadilisha Tanzania iitwe MAGUNIA yaani ni fresh tu coz mwendazake kashasepa.
 
Back
Top Bottom