Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Pombe alikuwa Rais mpenda damu za watu!! Kisirani asiyefaa kabisa, Mungu kwa kuipenda kwake Nchi yetu akaamua kutuondolea dudu lile!!!
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820


SO WHAT????

HIVI HAMKUBALI KUWA YEYE KAFA??? UJINGA NI MZIGO ZAIDI YA ZIGO LA MAVI
 
..Naunga mkono kuwepo kwa kumbukumbu za Magufuli.

..Wanaompenda Magufuli watafarijika kutokana na kufiwa kila wanapokutana na kumbukumbu yake.

..Wasiompenda Magufuli wakiona kumbukumbu zake watakuwa wanahakikishiwa kwamba mtesi wao amekufa hivyo nao watakuwa na furaha wakati wote.
You are a gentleman and a scholar!
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
 
Mbona hawajaenda kumjengea chattle kwao machakani alipojenga uwanja wa ndege ambao hauna manufaa yoyote kwa taifa
 
Mait au kaburi zao ziko wapi km unaamini walishakufa?
Vile viroba vilikuwa vinatupwa baharini na mto Ruvu vikiwa na miili ya binadamu hukuwahi kusikia au kuona kwenye vyombo vya habari?
 
Alimuua Ben Saanane, Azory Gwanda, wale 300 wa MKIRU na alimuru Lissu ashambukiwe kwa risasi 16
Hebu weka ushahidi ili tuufanyie Nazi. Vinginevyo nawe utakuwa mhalifu km wahalifu wengine tu.
 
Back
Top Bottom