Sori sio Kenyatta wala RailaNot sure if Raila can match JPM, kitendo cha kua karibu na wauza unga akina Joho na the Armenia brothers kinanipa shaka sana na huyu bwana na JPM yeye alisema hakuna mfanyabiashara mwenye jeuri ya kumdai favour eti kamwazesha kuingia Ikulu...sasa huyu Raila hao wafanyabiashara wamejipanga kuchanga kumuweka Ikulu ili baadae wavune...sio Kenyatta wala Uhuru mwenye kua na udhubutu wa Raisi Magufuli...
Its survival kaka rule of the jungle...survival of th fittest elimination of th weakest...system yenyewe iliruhusu haya yafanyike na yastawi kwa miaka mingi ila sasa Raisi na serikali yake wameona uozo huu ufikie kikomo sasa...kudos JPMLakini Wabongo, huwa mnatuita wezi.....hivi hao wote walikua na vyeti feki ndani ya serikali???? Najua hata Kenya wamo, lakini a freaking 10,000 civil servants with fake certificate and you still call yourself the most honest society.
Lakini Wabongo, huwa mnatuita wezi.....hivi hao wote walikua na vyeti feki ndani ya serikali???? Najua hata Kenya wamo, lakini a freaking 10,000 civil servants with fake certificate and you still call yourself the most honest society.
Its survival kaka rule of the jungle...survival of th fittest elimination of th weakest...system yenyewe iliruhusu haya yafanyike na yastawi kwa miaka mingi ila sasa Raisi na serikali yake wameona uozo huu ufikie kikomo sasa...kudos JPM
Nilitazama hotuba yake Magufuli akiwa Moshi kuhusu hili suala, yaani yuko serious sio mchezo tena ameamua liwalo na liwe. Dah Magufuli hata kama ana mapungufu mengine lakini kwa hili nimemkubali kabisa.
Kwa hili kaka yupo sahihi kabisa, ebu tazama wahitimu wa chuo kikuu na kwingineko ambao wasoma na vyeti halali na wenye nia ya kutumikia hii nchi alafu wengine wanaona ee isiwe shinda wanatumia short cut kwa vile wana ma refa mahala wa kuwabeba yaani ni noma sana kaka...ila duu wengine wanatia huruma maana unakuta japo cheti feki lakini amesoma chuo kihalali na kufaulu kihalali ila kile cheti cha kumpeleka chuo ndio alifoji ili kuingia chuo...ni balaa kwa wengine ambao hata hicho chuo hajawai kanyanga lakini yupo kazini kwa bwebwe zote kama vile amefalu kotekote kwa A..kazi ipoNilitazama hotuba yake Magufuli akiwa Moshi kuhusu hili suala, yaani yuko serious sio mchezo tena ameamua liwalo na liwe. Dah Magufuli hata kama ana mapungufu mengine lakini kwa hili nimemkubali kabisa.
May beMagufuli ni raisi bora barani africa
Hivi Magu aliajiri wengine ama ni hivyo basi
Magu anayumbisha sana hii serikaliSerikali ‘yamwaga’ ajira 15,000
IMEANDIKWA NA MAGNUS MAHENGE, DODOMA | IMECHAPISHWA: 04 MEI 2017
SERIKALI itamwaga ajira 15,000 kwa watumishi wa kada mbalimbali serikalini kabla ya Juni 30, mwaka huu.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk Laurean Ndumbaro akizungumza na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Habari wa Bunge, alisema ajira hizo ni za mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, mwaka huu na uchambuzi unaoonesha kila kada itapata watumishi wangapi utatolewa baadaye.
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/22617-serikali-yamwaga-ajira-15-000
Magu anayumbisha sana hii serikali
Hizo nafasi karibia zote ambao hili janga limekuta zipo wazi na tayari wenye sifa za hizo ajira wameanza ku apply kuajiriwa serikalini...na pia wale ambao wameonewa wana appeal kupindua kutimuliwa kwao na utaratibu upo wazi jinsi ya kukata rufaa...hii ishu ya vyeti ni mtihani babu usisikie wengine vyetu vimetumiwa bila wao kujua yaani majanga...Hivi Magu aliajiri wengine ama ni hivyo basi
kenyans u are not investigating about many thing which mugu have proved failure u cannot compare him with kenyatta , kenyatta is the bestthis is my best president...probably the best in the world.we dont need Odinga or Kenyatta...we need someone like Magu
jaman nilisikia kenyatta aliagiza kila mwanafunzi wa shule ya msingi na awali apewe computer je alitekeleza?Not sure if Raila can match JPM, kitendo cha kua karibu na wauza unga akina Joho na the Armenia brothers kinanipa shaka sana na huyu bwana na JPM yeye alisema hakuna mfanyabiashara mwenye jeuri ya kumdai favour eti kamwazesha kuingia Ikulu...sasa huyu Raila hao wafanyabiashara wamejipanga kuchanga kumuweka Ikulu ili baadae wavune...sio Kenyatta wala Uhuru mwenye kua na udhubutu wa Raisi Magufuli...
What I see here about Kenyans about Magu is because one of the many vices Magu s takin no jokes s corruption...kenya s ranked among the worst hit by the vice..they see Magu effort and to them that serious action tackling all t n puttin the public sector on the spot to behave as they are supposed...Magu is not an angel to fix all, challenges are there but he s showing that he mean business..kenyans u are not investigating about many thing which mugu have proved failure u cannot compare him with kenyatta , kenyatta is the best
kenyans u are not investigating about many thing which mugu have proved failure u cannot compare him with kenyatta , kenyatta is the best
May be[/QUOTEMay be
Wapiga dili mnalialia fanyeni kazi