Master Oogway
Senior Member
- Jul 7, 2022
- 141
- 342
Acha ujinga alijitolea kwa nani labda kwa wewe na familia yake ndgu na marafiki.Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure[emoji120]
View attachment 2618627
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
View attachment 2618627
Na akaiachia Tanzania madeni makubwa na uongozi legelege.Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
View attachment 2618627
Acha ujinga alijitolea kwa familia yake na ndgu na marafiki.
Lucifer zidi kuchochea kuni.Ndo kaenda kua malaika,, we piga maombi halafu ingizia saint magufuli uone kazi yake
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
View attachment 2618627
Asikwambie mtu. Ni balaaahMagufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
View attachment 2618627
Lucifer ni mamdogoLucifer zidi kuchochea kuni.
Mageuzi ya kijinga.Ataendelea kuishi milele. Fikra zake ambazo ni chachu ya mageuzi ya kweli ya Tanzania na Afrika kwa ujumla zitaendelea kuishi.
Kwa sasa kizazi hiki kilicho kombo hakita muelewa, lakini kuna kizazi kijacho kitamuelewa kana kwamba anaishi nao wakati mmoja.
Lucifer endelea kuchochea kuni.Lucifer ni mamdogo
Najua ningumu sana kuelewa, lakini ipo siku utakuja kunielewa.
Kama ulishawai kufanya kazi kwa Wahindi, basi huu mfano utauelewa. Wahindi wanapenda kucheza na Saikolojia ya Wafanyakazi wao haswa Rangi nyeusi...
Lazima uwe na akili kubwa ndiyo utaelewa aliyoyasema JPM.Mageuzi ya kijinga.
Aliyoyasema na matendo yake vitu viwili tofauti, utajiri wa kutajirisha kwao hiyo ni falsafa mfu.Lazima uwe na akili kubwa ndiyo utaelewa aliyoyasema JPM.
Mfanyakazi hewaAcha ujinga alijitolea kwa nani labda kwa wewe na familia yake ndgu na marafiki.
vyeti feki 😁 aliwakomesha hasaAcha ujinga alijitolea kwa nani labda kwa wewe na familia yake ndgu na marafiki.
bora kuliko wewe vyeti fekiNa wajinga.
Big no. Jpm alikuwa hajuai cha kufanya akiwa ikulu. Yeye mwenyewe alikuwa anashangaa imekuwaje akawa rais. Mpaka Sasa angekuwepo uasi nchi ingekuwa kama DRC.Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
View attachment 2618627