Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

Mi nilitumbuliwa eti mi ni hewa kumbe vyeti viliungua vyote tu ndani ya nyumba ikaonekana Sina Cheti kabisa. Ila kwa Sasa nimerudishwa kazini baada ya kuonekana walinionea
unaona sasa ulivyokuwa huelewi na huwezi kutofautisha mwenye cheti na mwenye cheti feki

ebu ngoja niache kujibizana na wewe ni ujinga mtupu
 
unaona sasa ulivyokuwa huelewi na huwezi kutofautisha mwenye cheti na mwenye cheti feki

ebu ngoja niache kujibizana na wewe ni ujinga mtupu
Sasa kwa nini serikali ya jpm ilikuwa inakurupuka tu bila kufanya u hambuzi wa kutosha. Kwa nini nilimuliwa?
 
vyeti feki aajiriki na ndio maana walikutoa huko
Mungu ni mwema kwa wale wamchao na kumwamini katika kweli wale watu waliokataa Kejeli,Dharau,Uonevu na manyanyaso wataendelea kufaidi matunda ya kazi zao.

Lakini wezi, matapeli na wauaji Raha zao ni za muda mfupi na mateso huwa makubwa kuanzia duniani hadi mbinguni.

Kinachonifurahisha ni kuwa huna mchango wowote katika maisha yangu na Vyeti feki ulivyonipa wewe Mungu akubariki kwa kunihurumia ili na mimi nimiliki vyeti feki kama Makonda,hongera sana.
 
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.

Your life was a blessing, your memory a treasure🙏

View attachment 2618627
Huyo mfu wako aliongoza nchi kwa maslahi yake, familia yake na wapambe wake usitukumbushe habari za huyo katili muuaji. Huna hata haya we ngedere eti alijitoa kwa ajili ya watu, labda alijitoa kwa ajili ya mamako. Yule mhutu mbaguzi?

Aligawa nchi, alimsaidia nani, alifukuza wafanyakazi kwa chuki na roho mbaya tu, km ni vyeti, PhD yake ni feki na ukweli wake ukaondoa roho ya Ben Saanane.

Wafanyakazi wa nchi hii waliishi kwa vitisho hawakujaribu kunyanyua midomo yao kudai hazi zao za kupandishwa madaraja wala mishahara maana ukijaribu jibu lilikuwa acha kazi kama unaona hailipi, watu waliishi km wako jehanamu usitutoneshe vidonda we poyoyo.

Hakuna ajira miaka 6, mpaka leo watanzania wamejaa mitaani na vyeti vyao watu wanawakebehi, wanawatukana kisa Magufuli, yule shetani anatakiwa afe mara 7 bado hajafa na aitumikie adhabu ya kaburi inavyomstahili.
 
Ataendelea kuishi milele. Fikra zake ambazo ni chachu ya mageuzi ya kweli ya Tanzania na Afrika kwa ujumla zitaendelea kuishi.
Kwa sasa kizazi hiki kilicho kombo hakita muelewa, lakini kuna kizazi kijacho kitamuelewa kana kwamba anaishi nao wakati mmoja.
yule shetani ataendelea kuishi jikoni kwenu, hivi hamuamini amekufa?
 
Back
Top Bottom