Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

Alijitolea maisha yapi? Futa hiyo kauli sidhani kama unaongea jambo lenye busara mbele za watu ambao tuna majeraha ya mfumo dume wa kukandamiza kila sector
 
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.

Your life was a blessing, your memory a treasure🙏

View attachment 2618627
Punguza ujinga alijitolea kitugani mwizi yule yeye nakichaa mwenzake mpina wavuvi tumeumizwa sana na majambazi haya mungu awachome moto usiozima milele
 
Punguza ujinga alijitolea kitugani mwizi yule yeye nakichaa mwenzake mpina wavuvi tumeumizwa sana na majambazi haya mungu awachome moto usiozima milele
January Makamba alivyo na hasira na Magu, yaani basi tu. Wewe ulitemwa kutokana na unafiki na wizi wa kijinga ulionao, na ndiyo maana sasa hivi unaiba kijinga kama hauna akili vile.
 
Upuuzi kama huu ni wa kupuuzwa!
Hakika nimeku-disqualify kabisaa!
Ahsante sana kwa kuni Disqualify👏

Sipo hapa kumridhisha mtu bali nipo hapa kusema ukweli.
Hakuna Mwanadamu mkamilifu chini ya Jua, lakini katika awamu zote za uongozi ukiondoa Nyerere. Magufuli amelifanyia makubwa Taifa hili kwa damu na jasho.​
 
Back
Top Bottom