Magufuli hakuwaogopa Mafisadi alikuwa hawakenulii Meno alikuwa jasiri mithili ya simba, kiongozi Jasiri aliyepinga Rushwa waziwazi

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao

Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa

Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
 
Rushwa haipambanwi kwa chuki na kiburi cha madaraka.
Rushwa ni adui wa haki. Nikiamini wewe ni mmoja wa wadai haki.

Je, jinsi gani ya kuiondoa rushwa pasipo kutumia nguvu ya ziada ikiwa ni pamoja na kuwaua hadharani kwa risasi!
 
Ni sawa lakini kusiwe na double standard kwenye utekelezaji wa hilo.
 
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao

Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa

Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Jinga sana wewe.
Mtu kapiga kiufisadi Tril 1.5 mchana kweupe wewe unachekelea kama nyani aliyekula mahindi bichi!
 
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao

Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa

Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Tangu lini mafisadi wakatofautiana?
 
Mkuu sijui kama utaeleweka, lakini mwenye kujiuliza panyaroads ilipotelea wapi enzi za Magufuli na ilitokea wapi enzi za Samia, ingetosha tu kusema the last one is supposed to be rolemode for the current one.
 
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao

Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa

Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Alikuwa anapiga makelele ya Hovyo kabisa hakuna kitu alifanya ndio maana unaona vilio kwa watumishi baada ya Samia kuwabana.
 
Huyo Mwamba hata kifo chenyewe hakukiogopa,He was Brave,ningekuwa Mimi ni yeye ningeshaenda kutafuta Moyo mwingine huko Ulaya
Jiwe na Nyerere walikuwa jasiri Sana,Nyerere naye aliambiwa hatoboi ila akabaki kuwa calm
 
Alikuwa mla rushwa mkubwa. Kiongozi aliyetumia fedha za umma kuhonga wapinzani ili wamsifie na kuhamia chama chake, aliyejenga kiwanja cha kimataifa kijijini kwake
 
Huyo Mwamba hata kifo chenyewe hakukiogopa,He was Brave,ningekuwa Mimi ni yeye ningeshaenda kutafuta Moyo mwingine huko Ulaya
Jiwe na Nyerere walikuwa jasiri Sana,Nyerere naye aliambiwa hatoboi ila akabaki kuwa calm
Nyerere alifanya nini cha maana zaidi ya uhuru? Aliondoka akaiacha nchi ina hali mbaya kiuchumi kuliko alivyoichukua kutoka kwa wakoloni
 
Mkuu,Mimi siongelei kuhusu Urais wake,namuongelea at a personal level kuhusu kuambiwa ugonjwa wake kwamba utamuua na hakupanick, hayo ya kaifanyia Nchi Nini Sina la kusema kwa leo
 
Rushwa ni adui wa haki. Nikiamini wewe ni mmoja wa wadai haki.

Je, jinsi gani ya kuiondoa rushwa pasipo kutumia nguvu ya ziada ikiwa ni pamoja na kuwaua hadharani kwa risasi!
Magufuli alimfunga mla rushwa yupi? Alimpiga mla rushwa gani risasi? Tundu Lissu?

Kikwete aliwafunga mawaziri wawili, Mramba na Daniel Yona kwa ulaji wa rushwa, Magufuli alimfunga kigogo yupi? Zaidi ya wapinzani waliokuwa wakimkosoa?
 
Back
Top Bottom