Unataka unipangie Cha kuandika Mkuu ? Yani wewe na utu uzima ulionao bado unategemea Mimi nije niandike humu kitu Cha kukusaidia kwenye Maisha yako ?, Au serikali ikusaidie
Huyo Nyerere unayemsema alitimiza majukumu yake Kama Baba kwa kusomesha na kuwatunza wanae na kumuandalia mkewe Maisha mazuri mpaka leo,that was his sore responsibility
Nyerere hakuwa na jukumu la kukuandalia wewe Maisha Bora,pambana wewe Kama wewe so it was with Magufuli,haya mawazo yako ndio yanafanya unakuwa na makasiriko humu
Hata Biblia imekataza muache kuwategemea wanadamu,we pambana uwaandalie wanao future nzuri achana na kulaumu wanasiasa
Mfano Mwigulu japo tunamchukia kwa upuuzi anaongea Mara anataka kuleta Kodi kwa vijana lakini ukitafakari utaona Mwigulu si baba yako Wala mama yako,yupo pale kwa ajili ya kuwapambania wanae tu na sio sisi wananchi
Samia anajua wamasai Wanauliwa lakini umemuona anaongea ? Hana muda na hayo,yeye anajali familia yake na amepambana na Maisha Hadi kufikia cheo hiko ili aishi vizuri