Magufuli hakuwaogopa Mafisadi alikuwa hawakenulii Meno alikuwa jasiri mithili ya simba, kiongozi Jasiri aliyepinga Rushwa waziwazi

Mkuu,Mimi siongelei kuhusu Urais wake,namuongelea at a personal level kuhusu kuambiwa ugonjwa wake kwamba utamuua na hakupanick, hayo ya kaifanyia Nchi Nini Sina la kusema kwa leo
Sasa hilo linatusaidia nini wananchi? Kuna mtu ambaye hajui kuwa atakufa?
 
Tangia uhuru kiasi walichoiba mafisadi wote tz nzima kwa pamoja bado hawajazidi kiasi alichoiba mwendazake ndani ya mwaka mmoja alipiga trillion 1.5
 
Sasa hilo linatusaidia nini wananchi? Kuna mtu ambaye hajui kuwa atakufa?
Unataka unipangie Cha kuandika Mkuu ? Yani wewe na utu uzima ulionao bado unategemea Mimi nije niandike humu kitu Cha kukusaidia kwenye Maisha yako ?, Au serikali ikusaidie
Huyo Nyerere unayemsema alitimiza majukumu yake Kama Baba kwa kusomesha na kuwatunza wanae na kumuandalia mkewe Maisha mazuri mpaka leo,that was his sore responsibility
Nyerere hakuwa na jukumu la kukuandalia wewe Maisha Bora,pambana wewe Kama wewe so it was with Magufuli,haya mawazo yako ndio yanafanya unakuwa na makasiriko humu
Hata Biblia imekataza muache kuwategemea wanadamu,we pambana uwaandalie wanao future nzuri achana na kulaumu wanasiasa
Mfano Mwigulu japo tunamchukia kwa upuuzi anaongea Mara anataka kuleta Kodi kwa vijana lakini ukitafakari utaona Mwigulu si baba yako Wala mama yako,yupo pale kwa ajili ya kuwapambania wanae tu na sio sisi wananchi
Samia anajua wamasai Wanauliwa lakini umemuona anaongea ? Hana muda na hayo,yeye anajali familia yake na amepambana na Maisha Hadi kufikia cheo hiko ili aishi vizuri
 
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao

Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa

Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Nani aliyesimamia ukweli? Angesimamia ukweli angefungulia vyombo vya habari ili vimulike anayoyafanya na kuandika. Sasa Kama alizima vyombo vya habari sisi tutajuaje Kama yeye hakuwa fisadi mkubwa kwa kuficha asisemwe. We unafanya issues gizani halafu unatakana tuamini kila kitu kiko sawa!!

Jaribu kuleta thread nyingine hii imegoma kabisa
 
Rushwa ni adui wa haki. Nikiamini wewe ni mmoja wa wadai haki.

Je, jinsi gani ya kuiondoa rushwa pasipo kutumia nguvu ya ziada ikiwa ni pamoja na kuwaua hadharani kwa risasi!
Jinsi ya kuondoa rushwa ni kuviacha vyombo vya habari kuwa huru na kuibua uozo wote ikibidi hata raisi aandikwe uozo wake siyo kuvifungia na kuvifanya vikusifu tu. Ndo Mana hujaona uozo wa jpm Mana alifunga vyombo vya habari kuandika chochote
 
Akamfukuza CAG Assad baada ya kuibua ufisadi wa 1.5T?
 
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao

Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa

Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Yeye mwenyewe alikuwa jambazi sema aliwachukia majambazi waliomtangulia ujanja
 
Unataka unipangie Cha kuandika Mkuu ? Yani wewe na utu uzima ulionao bado unategemea Mimi nije niandike humu kitu Cha kukusaidia kwenye Maisha yako ?, Au serikali ikusaidie
Huyo Nyerere unayemsema alitimiza majukumu yake Kama Baba kwa kusomesha na kuwatunza wanae na kumuandalia mkewe Maisha mazuri mpaka leo,that was his sore responsibility
Nyerere hakuwa na jukumu la kukuandalia wewe Maisha Bora,pambana wewe Kama wewe so it was with Magufuli,haya mawazo yako ndio yanafanya unakuwa na makasiriko humu
Hata Biblia imekataza muache kuwategemea wanadamu,we pambana uwaandalie wanao future nzuri achana na kulaumu wanasiasa
Mfano Mwigulu japo tunamchukia kwa upuuzi anaongea Mara anataka kuleta Kodi kwa vijana lakini ukitafakari utaona Mwigulu si baba yako Wala mama yako,yupo pale kwa ajili ya kuwapambania wanae tu na sio sisi wananchi
Samia anajua wamasai Wanauliwa lakini umemuona anaongea ? Hana muda na hayo,yeye anajali familia yake na amepambana na Maisha Hadi kufikia cheo hiko ili aishi vizuri
Sikupangii cha kuandika ila hili ni jukwaa la wazi ukiandika pumba zitajibiwa tu..kama hutaji kujibiwa baki tu msomaji

Na tunapojadili kuhusu Nyerere hapa tunamjadili kwa sababu alikuwa rais wa nchi, so tunajadili mambo ambayo ni relevant na impact zake kwa maisha na uchumi wa Tanzania, mambo ya mke wake na watoto wake hayatuhusu ni udaku huo

Na maisha yangu nayaishi vizuri tu, lakini hapa hatujadili maisha yetu binafsi wala maisha binafsi ya viongozi, ni Tanzania at large

Hili ni jukwaa la siasa, kama hujui kwenye siasa wanajadili nini, kajufunze
 
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao

Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa

Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Yeye Magufuli alikuwa ndiye FISADI Concord, je angewezaje kuwaogopa mafisadi wadogo? Hakuna kiongozi toka tupate uhuru mwaka 1961 ambaye amewahi kukutwa na ufisadi mkubwa kumzidi Magufuli. Taarifa za CAG report za kuanzia 2017 hadi 2021 zipo mtandaoni. Zaidi ya Tsh 2.4 Trillion ni ufisadi wa Magufuli kuanzia 2016-21

Magufuli alikufa kwa sababu alitaka abakie anafisadi peke yake na kikundi kidogo cha marafiki zake na ndugu zake akina Ditto, Bashiru, Makonda, Sabaya, Kabudi, Chamuriho, Kijazi, Polepole na Mfugale. Mungu alichikizwa akamyakua
 
Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao

Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa

Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Sheria ya PCCB ya 2007 kama sikosei ni miongoni mwa sheria mbaya kwa taasisi ile. Wanaruhusiwa kupeleka mahakamani case moja tu. Nyingine mpaka DPP aslruhusu.

Kama magufuli angekuwa na nia njema kwa taifa kama wqnavyotaka tuamini angeanzia hapa. Akaishia kupiga jalamba na mkwara kwa asiyowapenda.

Nitajie fisadi mmoja tu aliyefungwa kwa ufisadi wake. Unauchukia ufisadi huku unavibughudhi vyombo vya habari. Ni mpuuzi tu anaye Amini kwamba magufuli alikuwa kiongozi mzuri. Fedhuli yule
 
Back
Top Bottom