Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
AiseeeSi tumekubaliana akafukuliwe! Jmn mbona kero,
Rushwa ni adui wa haki. Nikiamini wewe ni mmoja wa wadai haki.Rushwa haipambanwi kwa chuki na kiburi cha madaraka.
Rushwa ni adui wa haki. Nikiamini wewe ni mmoja wa wadai haki.
Je, jinsi gani ya kuiondoa rushwa pasipo kutumia nguvu ya ziada ikiwa ni pamoja na kuwaua hadharani kwa risasi!
Jinga sana wewe.Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa
Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Hawaamini mpaka leoSi tumekubaliana akafukuliwe! Jmn mbona kero,
Yule alikuwa anaiba na watu wachache snJinga sana wewe.
Mtu kapiga kiufisadi Tril 1.5 mchana kweupe wewe unachekelea kama nyani aliyekula mahindi bichi!
Tangu lini mafisadi wakatofautiana?Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa
Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Mkuu sijui kama utaeleweka, lakini mwenye kujiuliza panyaroads ilipotelea wapi enzi za Magufuli na ilitokea wapi enzi za Samia, ingetosha tu kusema the last one is supposed to be rolemode for the current one.Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa
Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Alikuwa anapiga makelele ya Hovyo kabisa hakuna kitu alifanya ndio maana unaona vilio kwa watumishi baada ya Samia kuwabana.Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao
Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa
Wazalendo msihofu majizi na mafisadi yanatumana kuharibu image ya Magufuli lakini yanaonekana majinga maana huwezi kupingana na mtu aliyesimamia ukweli
Nyerere alifanya nini cha maana zaidi ya uhuru? Aliondoka akaiacha nchi ina hali mbaya kiuchumi kuliko alivyoichukua kutoka kwa wakoloniHuyo Mwamba hata kifo chenyewe hakukiogopa,He was Brave,ningekuwa Mimi ni yeye ningeshaenda kutafuta Moyo mwingine huko Ulaya
Jiwe na Nyerere walikuwa jasiri Sana,Nyerere naye aliambiwa hatoboi ila akabaki kuwa calm
Mkuu,Mimi siongelei kuhusu Urais wake,namuongelea at a personal level kuhusu kuambiwa ugonjwa wake kwamba utamuua na hakupanick, hayo ya kaifanyia Nchi Nini Sina la kusema kwa leoNyerere alifanya nini cha maana zaidi ya uhuru? Aliondoka akaiacha nchi ina hali mbaya kiuchumi kuliko alivyoichukua kutoka kwa wakoloni
Magufuli alimfunga mla rushwa yupi? Alimpiga mla rushwa gani risasi? Tundu Lissu?Rushwa ni adui wa haki. Nikiamini wewe ni mmoja wa wadai haki.
Je, jinsi gani ya kuiondoa rushwa pasipo kutumia nguvu ya ziada ikiwa ni pamoja na kuwaua hadharani kwa risasi!