Magufuli hastahili hata kulegeza lijamu ya Jakaya Kikwete. Yuko Chini sana, Kikwete ni level nyingine

Magufuli hastahili hata kulegeza lijamu ya Jakaya Kikwete. Yuko Chini sana, Kikwete ni level nyingine

wakati mnamnanga kikwete hapa hamkua timamu? hebu acheni unafiki wa kindezi.
 
Viongozi wa awamu ya 5 ni wa kupongeza na kuimba sifa ili wachaguliwe.

Hakuna weledi hapo.

Vipi mambo waliyp ya fanya kama maendeleo, kero za wananchi zilivyo tatuliwa. Watabzania wenzetu baadhi mwasikitisha sana. Mara tu mmesahau habari kuu za magazeti yetu hapa nchini zilikuwa ratiba za Tanesco zikielekeza mgawo wa umeme.
 
Back
Top Bottom