Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Mkuu Maneno Meier
Karibu pande hizi
P
 
PASKALI HUTOPATA UTEUZI AWAMU HII KAMA HULAMBI MIGUU YA BU RSHEETY WE JIFANYE CHIZI NENDA KADEKI SEBLENI KWA HUYO DIVISION ZERO WA DAR WIKI HAITAPITA UTAPEWA U DC FASTER YAWEZEKANA ANGLE YA UTEUZI HUJAIJUA SASA NIMEKUPA NJIA
 
As days goes by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!
FOR SURE HE IS HEADING TOWARDS WORSENESS AND FOR GOOD LUCK HATA WEWE PASCAL UMO KWENYE HUU MTUMBWI KAMA ILIVYOKUWA KWENYE KOROSHOW WATU WALITOA MICHANGO YAO WAKAONEKANA WAPINGA MAENDELEO SASA LIMEBUMA ALFU JIWE YUPO KIMYA UTADHANI SI YEYE ALIESABABISHA HILI TIMBWILI LA AIBU
 
Each passing day, Rais Magufuli is getting better and better, kufikia September 2020, he will be the best, October ni "unachukua tuu, unaweka, waa"
Amini usiamini, hakuna hata haja ya ...
basi tuu.
Hongera sana rais Magufuli.
P
 
Each passing day, Rais Magufuli is getting better and better, kufikia September 2020, he will be the best, October ni "unachukua, unaweka, waa"
Amini usiamini, hakuna hata haja ya ...
basi tuu.
Hongera sana rais Magufuli.
P
Tupo pamoja Kaka yngu Tumbo kwanza hlf Familia...
 

Nimeguswa na maneno haya ya
Askofu Mkuu, Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula.

Natamani rais Magufuli ayasikie
maneno haya ya askofu huyu, it might make a difference.
Mungu Mbariki sana Baba Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula.

Mungu Mbariki sana rais wetu Magufuli ili aweze kusikia vilio hivi vya kulilia haki


Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
 
Ina maana sheria zetu zina shida mahali hazitoi haki kwa watz. Mkulu asiposikia sijui inakuwaje
 
Ina maana sheria zetu zina shida mahali hazitoi haki kwa watz. Mkulu asiposikia sijui inakuwaje
Kuna maeneo sheria ziko ok kwa sababu fulani.
Mfano kwa vile Tanzania tunafuata mfumo wa sheria na haki wa Jumuiya ya Madola, mtuhumiwa atahesabika "not guilty until proven guilty by the court of competent jurisdiction".

Kitendo cha watuhumiwa wa kesi za uhujumu kunyimwa dhamana, ni sawa na kuwahukumu kabla, mtuhumiwa akikaa mahabusu miaka 8 halafu akakutwa hana hatia, what does that mean?.

Hata kesi za mauaji watuhumiwa huwa hawana dhamama,lakini consideration ipo, Ditopile aliua na akaachiwa kwa dhamana, kuna ugumu kumuachia Mzee Rugemalila na Harry Kitilya kwa dhamana?.

P
 
Paza sauti mkuu, kuwa Utu ni bora kuliko Materialistic. Yaani kuwekeza kwenye vitu na kuacha watu wakitaabika si sawa.
 
Huitaji kuwa na PhD kujua kiongozi anayekuongoza ni shetani au malaika, haya tunayoyaona ni matunda ya utawala wa kishetani, hivyo bila kumtoa huyo shetani msitegemee lolote kutoka kwake.
 
Wanabodi, naomba isome kwa makini hiyo quote,
Tukiwaambia rais Magufuli ni mtu msikivu, mwenye huruma, upendo wa kweli na upendo wa dhati, kuna watu humu walikuwa hawaamini.

Naamini by now wengi mmeishasikia rais Magufuli ametangaza nini.

Kiukweli kwa tangazo hili, rais Magufuli atabarikiwa sana, na Tanzania pia itabarikiwa, amini usiamini, this man might end up being the best president this country had ever had.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
 
Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.

This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.

P
 
Mkuu tunamkubali Magufuli sana tu kwa maendeleo ya kishindo.
Tatizo ni pale anapopata serious mood swings na watu kuambulia matusi.
Hata wiki haijapita.

Niambie kwa mfano, hapo umoja na mshikamano unaupataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…