Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli anapongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kuusaka u-DC mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Naomba kusisitiza kuwa mimi sina chama wala sisaki uteuzi, siku nikijiunga CCM, halafu bado nikakosa uteuzi, ndipo mtakuwa na haki kunituhumu kusaka uteuzi, lakini mtu asiye na chama kutuhumiwa kuusaka uteuzi, sio kumtendea haki!. Mimi siku zote ni mkweli daima, siegemei upande wowote, na nazidi kuusitiza ule wito wangu wa kwenye mazuri tupongeze, kwenye mapungufu tushauri na kwenye mabaya ndipo tukosoe, bandiko hili ni la pongezi.

As days goes by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.

Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia, uzalendo, kuwa wakweli na kusisitiza maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutokea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.

Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama. Kama tulimlaumu rais Magufuli kutumia state platforms kufanya siasa za CCM ikiwemo kupokea wanachama wapya, na leo amesema wazi, hatumii mikutano ya kiserikali kuigeuza ya CCM, ni jambo jema.

Kutumia shughuli za kiserikali kupokea wanachama wapya wa CCM was wrong. Katika bandiko hili,
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums nilisema

Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali yake kila inapoboronga, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia zaidi kubadilika, changing for the better, kuliko wanaomsifia!.

Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale uwanja wa Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.

Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba!.

Huwezi kujua, huenda hata ule uvunjaji wa katiba kuzuia mikutano ya siasa, soon utasitishwa only if atabaini, it was not right, kwa sababu rais wetu hana mamlaka hayo aliodhani anayo!.

Mnaweza msiamini, anaweza kuamua kuifumua Tume ya Uchaguzi NEC na kuunda tume huru zaidi ambayo ni inclusive!, kama ameweza kumchukua Prof. Kitila, na yule mama wa ACT, atashindwa nini kuifumua NEC ili uchaguzi wa 2020, uwe uchaguzi huru na wa haki kiukweli kweli!.

Nimemuona akihutubia kwa humility na genuinity, hivyo mnaweza kushangaa akasimamia kuhakikisha ofisi ya DPP inatenda haki kweli na haki ikaonekana inatendeka, hivyo wote wanaoozea kwenye mahabusu za nchi hii wengine kwa zaidi ya miaka 7 kama wakili Medium Mwale, na wale wanaozea Keko, Ukonga, Segerea na mahabusu nyingine kama Harry Kitilya, Sioi Sumari, Shose Sinare, kina Isaack Kasanga, kina Gonzaga, kina James Rugemalila na wengine wengi, wanatendewa haki, na haki kuonekana inatendeka!. Kuna watu wanaoshitakiwa kwa makosa ambayo ukikutwa na hatia adhabu yake ni kifungo cha mwaka mmoja jela, lakini mtu yuko mahabusu mwaka wa 7 sasa na kesi haijaanza kusikilizwa!, huu ni uchunguzi gani ambao haukamiliki, na hii ni haki ya aina gani?!.

Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kieondolewe!.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskali.
Rejea
Rais Magufuli Akifanya Mazuri, Apongezwe: Hotuba Yake Kuzima Mwenge, Ni One of The Best! - JamiiForums
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Pascal Rais wa nchi ya Tanzania (Africa) siyo Maghufuli tu. Katiba imesahau kuwa nao ni wanaadamu , wameachwa wafanye wapendavyo, wajisiavyo na wanavyotaka !!!. Mimi kama raia wa daraja la chini wa nchi hii, ningelitamani kumuona Rais wetu wa kiafrika wakibanwa na sheria, ili wawe na utu na ubinadaamu kwa wale wanaofikiri tofauti na wao (watawala). eg France, Brazil, South Korea , South Africa n.k. Tofauti na sasa ambapo ukifikiri tofauti na Rais ni uhaini na uchochezi. Haya tumeyaona Uganda, Rwanda, Tanzania ilivyokuwa ikijinasibu kwa democracy kiasi cha kukemea mataifa mengine yaliyokuwa yakinyanyasa raia wao n.k.

Katiba za nchi Africa ni mateso kwa wananchi wao. Sijui itakuwa Je?!
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli anapongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kuusaka u-DC mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Naomba kusisitiza kuwa mimi sina chama wala sisaki uteuzi, siku nikijiunga CCM, halafu bado nikakosa uteuzi, ndipo mtakuwa na haki kunituhumu kusaka uteuzi, lakini mtu asiye na chama kutuhumiwa kuusaka uteuzi, sio kumtendea haki!. Mimi siku zote ni mkweli daima, siegemei upande wowote, na nazidi kuusitiza ule wito wangu wa kwenye mazuri tupongeze, kwenye mapungufu tushauri na kwenye mabaya ndipo tukosoe, bandiko hili ni la pongezi.

As days goes by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.

Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia, uzalendo, kuwa wakweli na kusisitiza maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutokea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.

Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama. Kama tulimlaumu rais Magufuli kutumia state platforms kufanya siasa za CCM ikiwemo kupokea wanachama wapya, na leo amesema wazi, hatumii mikutano ya kiserikali kuigeuza ya CCM, ni jambo jema.

Kutumia shughuli za kiserikali kupokea wanachama wapya wa CCM was wrong. Katika bandiko hili,
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums nilisema

Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali yake kila inapoboronga, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia zaidi kubadilika, changing for the better, kuliko wanaomsifia!.

Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale uwanja wa Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.

Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba!.

Huwezi kujua, huenda hata ule uvunjaji wa katiba kuzuia mikutano ya siasa, soon utasitishwa only if atabaini, it was not right, kwa sababu rais wetu hana mamlaka hayo aliodhani anayo!.

Mnaweza msiamini, anaweza kuamua kuifumua Tume ya Uchaguzi NEC na kuunda tume huru zaidi ambayo ni inclusive!, kama ameweza kumchukua Prof. Kitila, na yule mama wa ACT, atashindwa nini kuifumua NEC ili uchaguzi wa 2020, uwe uchaguzi huru na wa haki kiukweli kweli!.

Nimemuona akihutubia kwa humility na genuinity, hivyo mnaweza kushangaa akasimamia kuhakikisha ofisi ya DPP inatenda haki kweli na haki ikaonekana inatendeka, hivyo wote wanaoozea kwenye mahabusu za nchi hii wengine kwa zaidi ya miaka 7 kama wakili Medium Mwale, na wale wanaozea Keko, Ukonga, Segerea na mahabusu nyingine kama Harry Kitilya, Sioi Sumari, Shose Sinare, kina Isaack Kasanga, kina Gonzaga, kina James Rugemalila na wengine wengi, wanatendewa haki, na haki kuonekana inatendeka!. Kuna watu wanaoshitakiwa kwa makosa ambayo ukikutwa na hatia adhabu yake ni kifungo cha mwaka mmoja jela, lakini mtu yuko mahabusu mwaka wa 7 sasa na kesi haijaanza kusikilizwa!, huu ni uchunguzi gani ambao haukamiliki, na hii ni haki ya aina gani?!.

Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kieondolewe!.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskali.
Rejea
Rais Magufuli Akifanya Mazuri, Apongezwe: Hotuba Yake Kuzima Mwenge, Ni One of The Best! - JamiiForums
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Kaka Paskali "shkamo!!"
Huyu jamaa unayemzungumzia hapa ukimsikiliza kwa utulivu ni kweli anaongea mpaka unasisimka. Lakini kaka paskali, unaweza ukawa mnafiki kwa maneno ama kauli lakini hisia zako zinashiria uhalisi wako na muonekano wake ni katika macho. Mtu anayeongea uongo, macho yake yanaongea. Msema kweli ni macho. Macho yanawakilisha uhalisia wako yaani ndani unaishije. Ndio maana mtu akiumia ndani, macho yanatoa machozi. Jiwe likiongea hebu likodolee Macho yake uone uhalisia wake.
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli anapongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kuusaka u-DC mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Naomba kusisitiza kuwa mimi sina chama wala sisaki uteuzi, siku nikijiunga CCM, halafu bado nikakosa uteuzi, ndipo mtakuwa na haki kunituhumu kusaka uteuzi, lakini mtu asiye na chama kutuhumiwa kuusaka uteuzi, sio kumtendea haki!. Mimi siku zote ni mkweli daima, siegemei upande wowote, na nazidi kuusitiza ule wito wangu wa kwenye mazuri tupongeze, kwenye mapungufu tushauri na kwenye mabaya ndipo tukosoe, bandiko hili ni la pongezi.

As days goes by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.

Leo nimemsikiliza rais Magufuli akihutubia kutokea Ukerewe, kiukweli kabisa, nimekuwa very impressed!, haswa alipozungumzia, uzalendo, kuwa wakweli na kusisitiza maendeleo hayana vyama, akampongeza mbunge wa Ukerewe ambaye ni wa Chadema, na akatoa fursa kwa wana CCM wanaotaka kwenda upinzani, hakutokea mtu, akasema nikiuliza wapinzani wanaotaka kujiunga CCM, wengi watakuja, lakini siulizi kwa sababu huu sio mkutano wa CCM ni mkutano wa serikali!. This is good!.

Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama. Kama tulimlaumu rais Magufuli kutumia state platforms kufanya siasa za CCM ikiwemo kupokea wanachama wapya, na leo amesema wazi, hatumii mikutano ya kiserikali kuigeuza ya CCM, ni jambo jema.

Kutumia shughuli za kiserikali kupokea wanachama wapya wa CCM was wrong. Katika bandiko hili,
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums nilisema

Sisi jf japo tunalaumiwa na kulaaniwa kwa ukosoaji kwa rais Magufuli na Serikali yake kila inapoboronga, lakini kiukweli kabisa, wanaomkosoa rais Magufuli ndio wanaomsaidia zaidi kubadilika, changing for the better, kuliko wanaomsifia!.

Naamimi lile tukio la kupokea wanachama pale uwanja wa Sheikh Amri Abed, wakati wa kamisheni maofisa wapya wa jeshi, ni sisi JF pekee ndio tulikipinga, na leo kimezaa matunda.

Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba!.

Huwezi kujua, huenda hata ule uvunjaji wa katiba kuzuia mikutano ya siasa, soon utasitishwa only if atabaini, it was not right, kwa sababu rais wetu hana mamlaka hayo aliodhani anayo!.

Mnaweza msiamini, anaweza kuamua kuifumua Tume ya Uchaguzi NEC na kuunda tume huru zaidi ambayo ni inclusive!, kama ameweza kumchukua Prof. Kitila, na yule mama wa ACT, atashindwa nini kuifumua NEC ili uchaguzi wa 2020, uwe uchaguzi huru na wa haki kiukweli kweli!.

Nimemuona akihutubia kwa humility na genuinity, hivyo mnaweza kushangaa akasimamia kuhakikisha ofisi ya DPP inatenda haki kweli na haki ikaonekana inatendeka, hivyo wote wanaoozea kwenye mahabusu za nchi hii wengine kwa zaidi ya miaka 7 kama wakili Medium Mwale, na wale wanaozea Keko, Ukonga, Segerea na mahabusu nyingine kama Harry Kitilya, Sioi Sumari, Shose Sinare, kina Isaack Kasanga, kina Gonzaga, kina James Rugemalila na wengine wengi, wanatendewa haki, na haki kuonekana inatendeka!. Kuna watu wanaoshitakiwa kwa makosa ambayo ukikutwa na hatia adhabu yake ni kifungo cha mwaka mmoja jela, lakini mtu yuko mahabusu mwaka wa 7 sasa na kesi haijaanza kusikilizwa!, huu ni uchunguzi gani ambao haukamiliki, na hii ni haki ya aina gani?!.

Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kieondolewe!.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up!.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!.
Paskali.
Rejea
Rais Magufuli Akifanya Mazuri, Apongezwe: Hotuba Yake Kuzima Mwenge, Ni One of The Best! - JamiiForums
Tusilalamike Tuu, Kulaumu na Kulaani Kila Kitu, Kwenye Mazuri Tupongeze, Rais Magufuli is Changing For The Better!. - JamiiForums
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Pascal Magufuli anayoyaongea ni tofauti na yaliyomo moyoni mwake
 
Nieleweshe maana ya getting better and better na changing for the better! Maana naona sasa kafika mbali hadi kutaja ugonjwa wake hadharani!.
 
To be the best president ever"....wenzake 46 maraisi wako Beijini China kujadili $400 bn za China itakazo wekeza bara la Africa mwaka 2019/20 yeye iko ukelewe kuzindua mradi wa maji wa 1bn Tshilling that's amazing...public international relation is more important for both our economy and politics.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiongeze kidogo kijana mdogo!
Hawezi kubadilisha kitu kwa kutumia mifumo ile ile, marais waliopita wote walifanya uvasco da gama, umetufikisha wapi?
That’s all
 
Nimenote kupungua kwa vikao vya CCM kwenye ikulu yetu, sasa vikao vya CCM, vinafanyikia CCM Lumumba!.
Naendelea kusisitiza, rais Magufuli akifanya mazuri apongezwe. Hili la kutenganisha rais Magufuli kama rais wa nchi, na rais Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM ni jambo jema, na jambo zuri linalostahili pongezi. Kutoka kufanyia vikao ikulu hadi kuvifanyia ofisi ya CCM ni jambo jema.

Nakumbuka ni sisi humu jf, tulipigia kelele vikao vya CCM kuendeshwa Ikulu, sasa vikao vya CCM vinaendeshwa majengo ya CCM, kwa nini tusipongeze?.

Naendelea kusisitiza, this man is changing for the better.

P.
 
Ni wewe huyu? [emoji848]
 
Ni wewe huyu? [emoji848]
Huyu ndie the real me, mimi ni mkosoaji wa kweli, lakini kwenye mazuri tupongeze. hili la kufanyia vikao vya CCM ikulu, tulikosoa, sasa vikao vinafanyikia CCM Lumumba, kwa nini tusipongeze?.

Kesho kuna kongamano Nkuruma hall UDSM, linahusu mustakabali wa Uchumi wa Taifa letu na Rais atakuwepo kesho kwenye hilo kongamano na ndiye mgeni rasmi.
 
Naendelea kusisitiza, rais Magufuli akifanya mazuri apongezwe. Hili la kutenganisha rais Magufuli kama rais wa nchi, na rais Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM ni jambo jema, na jambo zuri linalostahili pongezi. Kutoka kufanyia vikao ikulu hadi kuvifanyia ofisi ya CCM ni jambo jema.

Nakumbuka ni sisi humu jf, tulipigia kelele vikao vya CCM kuendeshwa Ikulu, sasa vikao vya CCM vinaendeshwa majengo ya CCM, kwa nini tusipongeze?.

Naendelea kusisitiza, this man is changing for the better.

P.
Dakika zinayoyoma na watz walivyo... ndio mzee
 
Rais wetu anazidi kubadilika kwa kuboreka siku hadi siku, siku za nyuma niliwahi kushauri humu kuwa rais awe anaandikiwa cha kuongea kwenye live events.

Leo nimemsikiliza kwenye hotuba yake impromptu pale UDSM, kiukweli amenigusa, mpaka nataka kushauri sasa asiandikiwe tena hotuba, awe anatoa tuu kichwani.

Akiendelea hivi, kufikia 2025, atakuwa ni Nyerere mtupu, napendekeza tumpatie muda wa kutosha kama Nyerere, miaka 10 tuu ni michache sana kuinyoosha nchi hii ikanyooka, au mnaonaje?.

@pascal mayalla hii haihitaji kupongezwa.
unampongeza kwa lipi la kuahirisha vikao vya fisiem kwenye nyumbayetu
 
Mkuu Mwalla, kwenye mazuri, tupongeze
Jina la fisiem ni jina la maudhi na machukizo.
P
 
Rais wetu anazidi kubadilika kwa kuboreka siku hadi siku, siku za nyuma niliwahi kushauri humu kuwa rais awe anaandikiwa cha kuongea kwenye live events.

Leo nimemsikiliza kwenye hotuba yake impromptu pale UDSM, kiukweli amenigusa, mpaka nataka kushauri sasa asiandikiwe tena hotuba, awe anatoa tuu kichwani.

Akiendelea hivi, kufikia 2025, atakuwa ni Nyerere mtupu, napendekeza tumpatie muda wa kutosha kama Nyerere, miaka 10 tuu ni michache sana kuinyoosha nchi hii ikanyooka, au mnaonaje?.
P.
Yangekuwa yanaendana na hiyo hotuba sawaa lkn anayoyaongea ni tofauti na ayafanyayo
 
Naendelea kusisitiza, rais Magufuli akifanya mazuri apongezwe. Hili la kutenganisha rais Magufuli kama rais wa nchi, na rais Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM ni jambo jema, na jambo zuri linalostahili pongezi. Kutoka kufanyia vikao ikulu hadi kuvifanyia ofisi ya CCM ni jambo jema.

Nakumbuka ni sisi humu jf, tulipigia kelele vikao vya CCM kuendeshwa Ikulu, sasa vikao vya CCM vinaendeshwa majengo ya CCM, kwa nini tusipongeze?.

Naendelea kusisitiza, this man is changing for the better.

P.
Upo too shallow and low kama malaya mbele ya Pesa unapongeza mwanaume mwenzio kutenda yampasayo kutenda?
 
Back
Top Bottom