Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Big up kwa rais wetu Magufuli kuanza kutenganisha shughuli za kiserikali na shughuli za chama. Kama tulimlaumu rais Magufuli kutumia state platforms kufanya siasa za CCM ikiwemo kupokea wanachama wapya, na leo amesema wazi, hatumii mikutano ya kiserikali kuigeuza ya CCM, ni jambo jema.

Je ataacha kutumia IKULU kwa mikutano ya ccm?
 
Hahahah kweli aseeh ila nisiongee sana wasijenitafuta
But nimemkubali sana rais wangu Mhe Joseph P Magufuli katika kumtia moyo mak@nda kuwa achape kaziii, yeye prezidaaa hahitajiii nye Nye Nye
Hapa kazi tu
Na kwasisi tunaomchukulia rahisi wa dsm kama role model,hakika tutachapa kaziiii
Tutamzid hadi rahis wa mzizima
Nasemaje vijana wenzangu wazalendo tuchape kaziiiii maneno tuwaachie majobless bali tuchape kaziiii
Hope mmenielewa
Hahahahah fainali uzeeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaweza msiamini, anaweza kuamua kuifumua Tume ya Uchaguzi NEC na kuunda tume huru zaidi ambayo ni inclusive!, kama ameweza kumchukua Prof. Kitila, na yule mama wa ACT, atashindwa nini kuifumua NEC ili uchaguzi wa 2020, uwe uchaguzi huru na wa haki kiukweli kweli!.
P. Prof Kitila na Anna wamehamia CCM ,walipewa nafasi hizo kwa 'sharti' hilo, hakuna ''inclusive'' unayosema

Ma-DC sharti wahamie CCM ndipo wapewe nafasi hizo, hakuna ''inclusive''

Lakini pia hiyo inclusiveness unayosema haiishi katika chama, ni pamoja na kushirikisha wasiokubaliana na wenye mtazamo tofauti.

Tumeona hawawezi kumvumilia mama Ghasia, hiyo ''inclusive'' ipo wapi?
Watawezaje kumu-accomodate Zitto ikiwa hawawezi kukaa meza moja na Hawa Ghasia?

Kuhusu NEC, tatizo si watu wanaofanya kazi NEC, ni mfumo ulioiunda.

Unaweza kuweka malaika watupu wakiwa na makarani masheikh na maaskofu bila mafanikio yoyote kwasababu wanatumikia mfumo wasio na uwezo nao.

Mwenyekiti wa NEC anateuliwa na Rais, anaweza kutimuliwa wakati wowote.
Ndivyo ilivyo kwa Wakurugenzi wa tume. Wasimamizi huko majimboni ni Wakurugenzi ambao asubuhi wanaweza kusikia fulani kateuliwa eneo lake bila yeye kujulishwa, atapangiwa kazi nyingine!
Hawa unadhani wana nguvu gani ya kufanya mambo bila kuingiliwa ikiwa wapo chini ya ofisi kuu

Unaweza kuona viongozi wa NEC ni majaji. Hata hivyo, uwezo wa kutumia taaluma yao unafungwa na teuzi zinazoshikilia kila hatma yao. Hapa ndipo makosa yanapoanzia

Kosa la kwanza, kuteua majaji kunawafanya waliobaki wawe loyal kwa mfumo uliopo wakitaraji nafuu siku za kustaafu kwao. Hili linapunguza 'independence'' ya judicial system

Kosa la pili, mfumo hauna ulinzi wa kazi yao kama ilivyo kwa CAG, na kutoa nafasi ya wao kuwa submissive kwa uongozi na si mfumo wa uchaguzi.

Kufumua NEC ni kutengeneza kitu huru, kisichoundwa na mtu bali watu, kinachojiendesha kwa bajeti yake, kinacholindwa kisheria na kinachoweza kuhojiwa kisheria.

Watu wanaotumikia mfumo huo wanatakiwa kuwa confirmed na chombo kingine na kuwajibika huko si ofisi kuu
 
Ukiwa na akili ya hapa na pale kumuekewa huyu Paskali inakuwa tabu. Huyu jiwe hajawahi kubadilika hata siku moja.
Watanzania wengi ni wanafiki sana. Na ndiyo maana wanasababisha watu wawe confused. Na wakiwa confused, wanadai kuwa "hao walio confused hawaelewi, au hawamuelewi mtu mnafiki anayeleta hoja za kinafki nk". Jinga kabisa. Wengine wakiwandika ujinga, badala ya kukubali kukosolewa, watasema haujaelewa wala siyo mtu mwenye kuweza kuelewa "akili zao kubwa", majinga kabisa. Mmoawapo mwenye tabia hiyo ni yule wakili jina limenitoka ila yumo humu.
 
Wanabodi, JPM is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!.
Naomba kuanza na angalizo, kuna watu humu wana allergy Magufuli akipongezwa, hivyo utawasikia kuwa huku ni kuusaka UDC mara njaa!...
As days go by, this man is getting, better and better, he is changing for the better!.

Mmmmh, As days go by, Kiswahili is getting better and better, it is changing for the better! Hongera sana!
 
Amesema leo ukitaka kumtawala mtu mnyime elimu, ukimnyima elimu unaweza kuwa Rais wa Milee na ukawatala millele.

Sasa msomi kama Pasco unavyokuja na bandiko la kupendekeza Raisi ikimpendeza atawale maisha napata ukakasi.

Hapa ndio utajua tatizo la Tanzania ni wasomi wetu na sio vinginevyo.

Toka alivyotoka Chato naona kama Magufuli anaongea kitaifa zaidi, japo hulka haiwezi kuisha kirahisi.

Maana kuna muda amesikika akisema "nipendwe mimi kwani Mwanamke" japo aliongea kwa kisukuma.
Karudia Leo akiwa Uk kuwa sura lake baya ataki wa kumpenda yeye ni Kazi tu mmpende kwa Kazi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmoawapo mwenye tabia hiyo ni yule wakili jina limenitoka ila yumo humu.

Popo sio ndege wala mnyama.
Lakini angalau huyo kiumbe anaeleweka kuwa hivyo na wengi.
Hawa unaowazungumzia hapa wala hawa-fit kwenye kundi la popo, ingawaje wanataka watu wawaelewe hivyo.
The worst kind of beings to be around or deal with.
 
hivyo wote wanaoozea kwenye mahabusu za nchi hii wengine kwa miaka 7 kama wakili Medium Mwale, na wale wanaozea Keko, Ukonga, Segerea na mahabusu nyingine kama Harry Kitilya, Sio Sumari, Sinare, kina Isaack Kasanga, kina Gonzaga, kina James Rugemalila na wengine wengi, watetendewa haki, na haki kuonekana ilitendek
Watu wanalalamika kua katiba imempa madaraka na nguvu kubwa sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Lakini husikii kelele kwenye kupinga sheria mbaya zinazompa DPP uwezo wa kumnyima mtu dhamana kwa kupeleka hati ya kiapo

Pia husikii kelele za kupinga sheria mbaya ambazo zinatoa mwanya wa kuweka watu mahabusu kusubiria kesi zao hata kwa miaka kumi, kesi ambazo hata mtu akikutwa na hatia adhabu yake hua ni kifungo gerezani kisichozidi miaka mitatu au mitano. Mpaka mtu yamfike ndio utaona anapiga kelele

Mzee Kitilya alipokua Kamishna Jenerali wa TRA mwaka 2010 alitokea kwenye vyombo vya habari wakati huo akiwa anasema kuna jamaa wamekamatwa wakihujumu mapato ya TRA na akasema hawapeleki polisi bali TAKUKURU maana wale jamaa hawana mchezo. Na kweli kina Dickson Mbetwa, Samuel Renju, Eric Rugeleka na Hagai Mwatonoka walikaa ndani zaidi ya miaka mitano huku kesi yao ikiunguruma hadi waliposhinda mwaka 2015

Miezi michache baada ya jamaa hao kua wameshinda kesi Harry Kitilya akakamatwa na kushtakiwa kwa kosa kama la wale aliowazungumzia 2010 kua wamefanya uhujumu wa uchumi na kama wale jamaa wangeendelea kukaa ndani kidogo wangekutana mahabusu na Bwaba Kitilya ambae sasa na yeye anakata miaka kwa sheria ileile aliyotumia kuwasulubu wengine

Tunaoneana kwa kauli za wenye mamlaka lakini pia tunaoneana kwa sheria zilizotungwa bila tafakuri ya kina au zilitungwa wakati fulani ili kuwakomoa watu fulani. Hatujui mtego wa panya huingia walokuwemo na wasokuwemo
 
wakati mwngine bora ukae kimya ulinde status yako, kwa mwendo wako wa thread kama hizi kila siku umejionesha jins gan usivyojiamin na rahis kuyumbishwa.
huitendei haki jf (home of great thinker)
 
Back
Top Bottom