Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
MUNGU ANISAIDIE NISIJE KUWA NA KIBURI - RAIS MAGUFULI

"Siku zote nimekuwa nikimuomba Mungu anisaidie kamwe nisije nikawa na Kiburi, nikajiona mimi ni kiongozi. Nitaendelea kuwa mtumishi wenu na muda wangu ukimalizika nitarudi kijijini," - Rais Magufuli.

 
Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.


This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.

Pĺ
 
He is Rebelious..and selfish, Kujenga Chato despite kelele za watu wa mikoa mingine..inaonyesha ana kiburi..lol
Rais pekee ambae hakupendelea kwao ni ndugu yangu Mwalimu Nyerere ila wengine wote waliofuata walipendelea kwao.

Ukija kwa mawaziri wakuunje ya ndugu yangu Warioba, ndio balaa, Msuya alipeleka umeme hadi kwenye migomba huko kwao wakati hakuna wanaoishi huku miji mikubwa ya kiwilaya na mikoa kadhaa haina umeme.

Magufuli kujenga Chato na kufungua eneo la magharibi kwenda Kigoma ambalo limesahaulika sana nji hii sioni shida, sema isiwe too much.
 
Hakimu Mfawidhi,


Kwa vile wengine walipeleka miji yao...sio justification tosha ya kumfanya Rais huyu ajenge kwao tu..angeweza kuwa tofauti na marais waliopita kwa kutoa fair chance kwa watu wote kula keki ya Taifa...kwa hio mimi mndengereko na mie nisubiri lini Rais kutoka kabila langu tuendeleze kwetu..this is Not right...
 
Mda ni msemaji mzuri sana...ngoja tumpe mda lakini najiuliza mbona marais waliopita hawajawahi kutoa haya matamko kipindi chao.
Usiwafananishe watu na.............. Ndukiiiiiii
 
Nauza utumbo wa dagaa ,KILOMITA kumi . 04pont kumi kwa kua kila mmoja alimtegemea mtiririko wa maongezi yao..nadhani togwa hii ilikua kali kwani baada ya muda mfupi tutazungumza kesho..venezuela

Khaa 🙄🙄🙄🙄 ,nouma sana wew Mtu.
 
Back
Top Bottom