Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
Tena mpaka wasiomtambua leo wanamtambua Jpm sio mcheziWe Baba Jay'rose, we cheka tuu, mwenzio Baba Jesca, anafanya kweli!.
P.

Hiyo ni kama homa ya vipindi... Baada ya kampeni hizi za uchaguzi ataanza "kujimwambafy upya"Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
![]()
Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!
Wanabodi, Angalizo Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli anapopongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika kwa...www.jamiiforums.com
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
Kiburi ni sifa kati ya sifa za m/mungu ikiashiria ukuu wake alio nao. Sifa hii inapochukuliwa na kiumbe yoyote inafsirika kuwa, kiburi ni kukataa haki na kudharau wengine.Wanaoelewa maana ya kiburi tunaomba mtufahamishe
Katika wasaliti wa haki za binadamu, Uhuru wa habari, Pascal adhabu yako huko mbele ni kubwa. Utashitakiwa kwa kuhimiza uvunjifu wa haki za binadamu Tanzania kwa kutumia kalamu yako. Kama vile radio za Rwanda zilivyosaidia kueneza chuki na kusababisha mauaji ya halaikiWe Baba Jay'rose, we cheka tuu, mwenzio Baba Jesca, anafanya kweli!.
P.
Mda ni msemaji mzuri sana...ngoja tumpe mda lakini najiuliza mbona marais waliopita hawajawahi kutoa haya matamko kipindi chao.
Nina mashaka na hali ilivyo huko "upstairs" zake huyo MzeeMimi nnaomba kuuliza ,hivi wapo Binadamu wanaozaliwa mpaka wana zeeka bado wanakuwa hawaji tambui !!?😎
Kwani kuna mtu kamwambia akimaliza muda wake hataenda kijijini?MUNGU ANISAIDIE NISIJE KUWA NA KIBURI - RAIS MAGUFULI
"Siku zote nimekuwa nikimuomba Mungu anisaidie kamwe nisije nikawa na Kiburi, nikajiona mimi ni kiongozi. Nitaendelea kuwa mtumishi wenu na muda wangu ukimalizika nitarudi kijijini," - Rais Magufuli.
Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
![]()
Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!
Wanabodi, Angalizo Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli anapopongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika kwa...www.jamiiforums.com
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
MUNGU ANISAIDIE NISIJE KUWA NA KIBURI - RAIS MAGUFULI
"Siku zote nimekuwa nikimuomba Mungu anisaidie kamwe nisije nikawa na Kiburi, nikajiona mimi ni kiongozi. Nitaendelea kuwa mtumishi wenu na muda wangu ukimalizika nitarudi kijijini," - Rais Magufuli.
Nimeshuhudia mtanange wa majabali mawiliAsante kuniona is Balile, kitu muhimu sio kuniona bali ni jee ulitusikia tulisema nini?.
P
Sitaki kuamini ni kauli za kunyatia uchaguzi ukipita umwambafy palepale.danganya toto kwa pipi.Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.