Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Mbowe muda wake utaisha lini?!
Jikite kwenye Mada husika Mkuu 。
Mbowe muda wake utaisha lini?!
Acha uongo ndugu!
Kundi gani hilo?. Nijuavyo mimi, tuna miezi 9 kabla ya kufanya igizo la uchaguzi. Tuna miaka mingine 5 ya kunyooshwa na tutanyooka kabisa.Tuna miezi 9 imebaki na siku chache ili kundi lile lile liliokuwa na Lugha ngumu na kauli zenye kuwafariji wanyonge lirudi tena madarakani.
Walio na Lugha Tamu kwa sasa.....Uchaguzi upo...utakuwa wa haki na Huru.Kama ilivyokuwa kwenye Serikali za Mitaa.Kundi gani hilo?. Nijuavyo mimi, tuna miezi 9 kabla ya kufanya igizo la uchaguzi. Tuna miaka mingine 5 ya kunyooshwa na tutanyooka kabisa.
P
Zipo nchi zenye baridi kwa mwaka mzima,kwa kuwarushia punje sita au saba za mtama,sikumbuki kama mimi ndiye nilitakiwa kukamua ama ni juma aliyechelewa kukunja miguu wakati kaniki ilikua ni fupi, lakini sio siri kufundisha magaziguto kijijini ni kuwakomoa wakulima kwa kua bei ya mkaa sasa hivi ipo juuKhaa 🙄🙄🙄🙄 ,nouma sana wew Mtu.
Mkuu si kwa ukweli huo,kudos.Mimi sina tatizo afanye yote ila awaheshimu Watanzania kwa kuacha ubaguzi na chuki za kisiasa zinaharibu umoja wa taifa letu.Kundi gani hilo?. Nijuavyo mimi, tuna miezi 9 kabla ya kufanya igizo la uchaguzi. Tuna miaka mingine 5 ya kunyooshwa na tutanyooka kabisa.
P
mungu yupiRais wetu ni mcha Mungu
Hatuna wasiwasi na wewe Baba
Maigizo + Kunyooshwa..!Kundi gani hilo?. Nijuavyo mimi, tuna miezi 9 kabla ya kufanya igizo la uchaguzi. Tuna miaka mingine 5 ya kunyooshwa na tutanyooka kabisa.
P
Actually hii pia ni fairness, kwa sababu anawapelekea wale ambao hawakua na kitu kabisa, wale walikua wamesahaulika kabisa. Hakuna fair ya kua na nguo mbili unatakiwa uwagawie watoto 2 ila mmoja tayar ana nguo 3 alafu ukamuongezea moja na mwingine hana hata moja ukampa pia moja.Kwa vile wengine walipeleka miji yao...sio justification tosha ya kumfanya Rais huyu ajenge kwao tu..angeweza kuwa tofauti na marais waliopita kwa kutoa fair chance kwa watu wote kula keki ya Taifa...kwa hio mimi mndengereko na mie nisubiri lini Rais kutoka kabila langu tuendeleze kwetu..this is Not right...
Mayalla ni wewe huyu nikujuaye?Kundi gani hilo?. Nijuavyo mimi, tuna miezi 9 kabla ya kufanya igizo la uchaguzi. Tuna miaka mingine 5 ya kunyooshwa na tutanyooka kabisa.
P
Ni mimiMayalla ni wewe huyu nikujuaye?
Komea hapo hapo huwezi kumbadili shetani kuwa malaika hata siku moja.Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
Mzee Ruksa alipendelea kwao? Kwanza kwao ni wapi? Hata Nkapa na Mkwere sio kihivyo kama upendekeo unaofanywa na Jiwe kule atokako!Rais pekee ambae hakupendelea kwao ni ndugu yangu Mwalimu Nyerere ila wengine wote waliofuata walipendelea kwao.
Ukija kwa mawaziri wakuunje ya ndugu yangu Warioba, ndio balaa, Msuya alipeleka umeme hadi kwenye migomba huko kwao wakati hakuna wanaoishi huku miji mikubwa ya kiwilaya na mikoa kadhaa haina umeme.
Magufuli kujenga Chato na kufungua eneo la magharibi kwenda Kigoma ambalo limesahaulika sana nji hii sioni shida, sema isiwe too much.
Sijui kama unajua kuwa shetani mwanzo alikuwa malaika?. Kilichomfanya ageuke shetani ni uasi, akitubu anarudi kuwa malaika!.Komea hapo hapo huwezi kumbadili shetani kuwa malaika hata siku moja.