Mkuu Sky Eclat, mimi naunga mkono hoja, as days go by, this man is changing for the better, vimisamiati kama "kujimwambafy" vinasaidia saidia, kauli zake za mwanzo na sasa ni tofauti, mwanzo alianza na kauli za kuonyeshea yeye ni alfa na omega, now the man is becoming so humble.
This is good, kuja kufikia 2025, usikute watu tutaandamana nchi nzima kushinikiza tubadili katiba, tuondoe ukomo wa urais, uwe kama uenyekiti wa Chadema.
Pĺ
Wewe hee anatukana watumishi mpumbavu mbele ya umma hicho ni kiburi ana bariki wizi na udanganyifu kwenye haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Wewe P mbn unajaribu kutetea uovu ndugu yangu hei mamaaa