Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Acheni unafiki nyie! Kwani nani alikuwa hamheshimu JK? Kuitwa dhaifu ni tusi? Hizo ni lugha za kisiasa na zinakubalika worldwide. Labda kwenye nchi za kidikteta eg NK nk.
Kwanza kwa uwazi na moyoni mnadhani nani anatukanwa zaidi Zamani na siku za sasa?
Nchi haiendeshwi kwa mapambano kati ya viongozi (kiongozi) na RAIA walipa kodi Bali kwa mipango na maridhiano.
Ndio maana daraja likijengwa inakuwa NIMEJENGA DARAJA. Lakini maamuzi ya hovyo yakisababisha mahakama za kimataifa zitudai inakuwa TULIAMUA VIBAYA SASA TUNADAIWA!
Hovyo kabisa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broo naona unajitahidi kweli.....Ulianza kumtetea bashite na makontena yake, alipoumbuliwa na babake ukawa kimya kwa aibu, sasa naona umerudi kujikomba komba kwa baba bashite.....Jitahidi hata Jery Muro alianza hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais pia amewachana CCM na tabia yao ya ndiyooo,amewambia live wao ndiyo wamefikisha taifa kwenye majanga.Naona siku si nyingi JPM anahamia upinzani.
 
Only Time Will Tell!!
 
Ila kusema ukweli hii nchi imeliwa sana idadi ya viwanda na meli vilivyokuwa kanda ya ziwa ni balaa leo hii hamna kbs nmesikitika sn. Kuna mambo inabidi uwe upande wa rais tu hata kama ana mapungufu yake lkn Watanzania ukiwachekea wanaweza kuuza hata ikulu
 
Kile kichwa anakiweza mwenyewe leo atakuwa kaamka vizuri ..Subiria kesho uone ..huyo jamaa ni kama Jacky Baur ,What he says and what he does are two different things .

Hapo mwisho kwenye mambo ya kubadilisha katiba aendelee kuongoza sipo na wewe .

Hayo mabilioni ya dola tunayo daiwa na Accasia pekee achilia mbali hayo mengine nani katufikisha hapo ? Kama sio yeye na hiyo "Professional Rubish "ya kina Mruma na Oroso ?
Mtamkumbuka Lisu siku moja aliwaambia tujiondoe kwenye hiyo mikataba ya kimataifa halafu ndio tuwashughulikie hawa mabeberu matokeo yake akatwanga risasi kama mnyama .
Anaweza kuwa Rais wa ajabu kuweza kutokea Tanzania .

Asalalee!
 
Mmmh Paskali Hii sentensi moja tu ndio umeconclude he is getting better
Angemtumbua bashite juzi hapo tungesema 'he is the best 'but otherwise he is same old same old
 
Bahati mbaya kwako braza Pascal Mayalla umechukua kaeneo kadogo sana ka hotuba ya Mwenyekiti!

Kama ungeichambua yotr kuanzi ya Ukerewe na Magu nakuapia usingeandika hivi!
 
Katika hotuba yote umechukua "kaneno hako tu ka kuzuga kuwa hataki kupokea wanachama wapya" ukaibuka na hitimisho hilo? Kama unafikiri kuna "changes for better" hapo, endelea kusubiri kwa huyo "kichaa kichaa'!
Rais anakiri kwa kinywwa chake kuwa amemchagua waziri kichaa kichaa kama yeye..Inawezekana kweli nchi tunaongozwa na kichaa na mambo yanayotokea mipango haieleweki.
 
Labda Pascal Mayalla una tatizo la kumuelewa Magufuli kabla na baada ya 2015.
Magufuli hajawahi kubadilika ni yule yule...mkweli na straight foward!
 
Malengo yake tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huy
I don't trust this guy, you cannot count on him, sometimes inategemea amekunywa chai gani, akinywa ya maziwa wazimu wanatulia, akinywa ya rangi oohh! balaa

Huyo ndiyo Rais mzuri asiyetabirika, siyo kama aliyetangulia unajua hata kabla hajasema kitu. Big up JPM, keep people on suspense
 
Magufuli anataka wafanya kazi wafanye kazi haswa!
Magufuli hataki mafisadi na wahujumu wa uchumi.

Magufuli anataka watanzania waelimike.
Magufuli anataka tujitegemee.

Magufuli anataka watanzania wajiamini.
Magufuli anataka tumuenzi Nyerere kwa vitendo.
Magufuli anataka tuishi kwa neema.
Magufuli anataka wanyonge wapewe haki yao.
Magufuli anapenda tuwe na afya bora.
Magufuli hataki kujineemesha.
Magufuli anataka tulipe kodi.
Magufuli ni mpenda nchi na mfia nchi!!
 
Nadhani luga siyaukali. Tulikuwa na rais mpole mukasema mmechoka tukamuomba Mwenyezi Mungu atupe mukali nae Mungu akasikia maombi....... Sasa tena munataka mpole??

Tulitaka rais mkali na sio mwenye jazba.
 
Yamikutano ya siasa sidhani kama alikataza. Alisema kila mbunge ajikite kwenye jimbo lake.
Maana yake ni kwamba kama wewe ni mbunge wa Temeke unataka kufanyia siasa Arusha mjini ulichaguliwa Arusha?
Yeye anajua kusoma hicho kifungu cha vyama vya siasa kufanya mikutano kuliko MWINYI, MKAPA NA KIKWETE ..
kumbe kweli ni PHD
 
Imebidi nikusome mara mbili ndio nikuelewe....
Unamaanisha Pasco avae rangi halisi ili aweze kutambulika kuliko kuchanganya rangi maana anamchanganya mchaguaji.

Kama ameamua kuwa team Magufuli ajitokeze waziwazi, kama anapinga vivyo hivyo....

Mayalla lifanyie kazi hili.
 
Kwani Uchaguzi wa Majuzi ulikuwaje? This Guy siku hizi kabakiza Kumsifia Shetan tu pakee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…