Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!

Fatilia speech za Hitler uzisikilize kisha ndo utajua kuwa uyu anajifunza kwenye kuongea A na kutenda B Hitler alfaulu sana katika ili na ndo maana aliwateka waGermany coz alikuwa na sweet speech kama izi ambazo unazisifia wewe
 
Nilieleza humu, as days go by, this man is getting better and better, hili la leo la kikokotoo. angekuwa ni Magufuli wa enzi zile, leo angemtumbua Waziri wa Kazi na Bosi wa SSRA kwa kutufikisha hapa, alichofanya ni kufumua tuu maamuzi yao ya kiiajabu ajabu na kurejesha kikokotoo cha zamani, na amerejesha fao la kujitoa.

Huwezi jua, kufikia 2025, President Magufuli might end up being the best president, this country had ever had, na sisi Watanzania katika umoja wetu, tukamlilia aendelee na kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza katiba ibadilishwe, kipengele cha ukomo kiondolewe!.
P
 
Shiiidwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona amesha tumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As long as life has been lost through his hands, his hands red with human blood of his own people, he can never be clean or change for the better. That chance has been lost irrevocably!
 
We njaa koma. Usirudie Tena. Sisi tunaomba Mungu ampende hata Leo, we unasema watanzania waandamane kuondoa ukomo wa muda?? Kifupi hakuna Rais mbovu kama Jiwe, misifa mingi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavimavingi weqe
 
Una akili sana very "gineous".
 
Mungu anakuona ujue[emoji64][emoji64][emoji64]. Tembelea wilaya hizi meatu, kondoa kilindi handeni N.K hafu tazama video alivyokuwa anatoa ahadi akiwa katika wilaya hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr pascal,Mimi mgeni sana humu kwa maana ya kuwa Mwana jukwaa. Huko nyuma nilikuwa nasoma tu mijadala. Nimesoma post zako nyingi sana, sasa nimekuekewa. Ndege wanaofanana huruka pamoja, PASCAL HUNATOFAUTI NA UNAYEMSIFIA. Kinyonga hana Natural, basic and really color. Rangi yake hutegemea na mahali alipo pana Rangi gani. Ila inaaminika anasumu Kali kuliko ya nyoka. Pascal mrudie Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara zote kauli za Viongozi ama maamuzi huleta mshikamano ama mgawanyiko katika jamii husika ''A public figure is not supposed to be biased in leadership''
 
Kaka hili hawezi kubadirika aslani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara zote kauli za Viongozi ama maamuzi huleta mshikamano ama mgawanyiko katika jamii husika ''A public figure is not supposed to be biased in leadership''
Kumbuka mulikuwa na yule mpole na mcheshi mukawa munatukana tu kila siku. Sasa mkali nae hamujaridhika nyie munataka mtu wa aina gani?
 
sijasoma upuuzi wako nimeona nikoment tuuu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…