Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

Waendelee kuchina hivyohivyo na upinzani wao toka enzi za Nyerere
 
Jimbo la Mpwapwa ni masikini kabisa kabisa na lni la CCM mia kwa mia, madaraja yoye makubwa yamekatika, Mpwapwa inasilitisha mnoooo
 
Huyo DED aliyepo Butiama humjui vizuri. Ebu nenda Ukerewe alipokuwa Katibu Tarafa ukapate habari zake ndio utajua kwanini alipewa ukurugenzi.
Kuongoza Tarafa siyo sawa na kuongoza halmashauri,mama anafail technical issue nyingi,na kibaya zaidi amepelekea mgawanyiko wa timu yake. Mwezi wa kumi narudi tena Butiama,nitakuja na mengineyo.
 
ila Pampula ni tatizo sana kwa nchi yetu...wanao mchagua sijui hawaoni hizi kauli zake za kugawa nchi
 
ila Pampula ni tatizo sana kwa nchi yetu...wanao mchagua sijui hawaoni hizi kauli zake za kugawa nchi.
 
Kuongoza Tarafa siyo sawa na kuongoza halmashauri,mama anafail technical issue nyingi,na kibaya zaidi amepelekea mgawanyiko wa timu yake. Mwezi wa kumi narudi tena Butiama,nitakuja na mengineyo.
Umenena vyema. Kama kuwa Katibu Tarafa sio sawa na Ukurugenzi, sasa nikuulize, Makamu Mwenyekiti wa chama ambaye hajawahi kufanya kazi ya Makamu Mwenyekiti kwasababu alikuwa nje ya nchi, anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Kauli za mgombea urais wa CCM zinaonyesha kwamba ana dharau dhidi ya wapiga kura anao waomba wamchague tena,,,hawawezi kumfanyia kitu kwa kumuadhibu kwenye sanduku la kura. Kama kweli wananchi wangekua wanaheshimiwa kwenye sanduku la kura basi asingekua anaongea kwa jeuri hii.
 
Hakika majimbo uliyataja na engine mengi yako hoi kimaendeleo ikiwa no pamoja na majimbo ya meatu na ukerewe
 
Umenena vyema. Kama kuwa Katibu Tarafa sio sawa na Ukurugenzi, sasa nikuulize, Makamu Mwenyekiti wa chama ambaye hajawahi kufanya kazi ya Makamu Mwenyekiti kwasababu alikuwa nje ya nchi, anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kuwa nje ya nchi siyo tatizo, pia mfano wako wa makamu mwenyekiti kuwa rais siyo mfano sahihi ungejitahidi utafute mfano mwingine ili ueleweke.
Kwa mtu yoyote yule anaweza kuwa rais Cha muhimu ni kuzingatia kanuni za kiuongozi na katiba ya nchi. Hivyo basi si makamu wa chama tu hata huyo katibu tarafa anaweza kuwa rais wa nchi cha muhimu ni kuzingatia kanuni za kiuongozi na katiba ya nchi.
 
Umenena vyema. Kama kuwa Katibu Tarafa sio sawa na Ukurugenzi, sasa nikuulize, Makamu Mwenyekiti wa chama ambaye hajawahi kufanya kazi ya Makamu Mwenyekiti kwasababu alikuwa nje ya nchi, anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Lengo siyo kumzodoa mtu, lengo ni kurekebisha pale watu wanapoona hapaendi vizuri, unayo nafasi ya kumfikishia ujumbe "katibu kata"ili hasijeharibu zaidi.
 
Ila hawezi kuwa Mkurugenzi? Dogo mbona unajichanganya?
 
Hii nchi sio bure tuna laana kweli,nimesoma comment hivyo vijiji havina maji ni karibu na ziwa kabisa tungeacha maendeleo mengine ya hedge na sgr hi miradi yamaji karibu nawater bodies ni matusi kwa taifa,tukiitwa nyani tunarusha ngumi lakini unyani unaanzia hapo
 
Ila hawezi kuwa Mkurugenzi? Dogo mbona unajichanganya?
We bwana mdogo ni kwamba baada ya kupewa ukurugenzi ndiyo imebainika kapwaya vibaya, mkurugenzi kila siku kwenda kukagua vyoo vya shule na zahanati, Kama unaampenda ndugu yako ni vyema umshahuri afanyie kazi mapungufu.
 
Magu mzee wa visasi sipati picha mitano ijayo,
kwa upinzan anaokutana nao kweny kampeni.
yy alitegemea kusifiw kwa kununua vindege na flyover zake ambazo hazijakmilik,
ingaw kwwny ahad zake hazikuwemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…