Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

Uchaguzi 2020 Magufuli kakosea sana kampeni zake mkoani Mara. Je, haujui mkoa ule au hapendi watu wake?

Hawa jamaa huwa hawajui kabisa kuwa kauli zao za kutulazimisha kuchagua watu wao, hata kama hawatufai, kwa vitisho vya kutunyima maendeleo, huwa ZINATUTAPISHA!

SOME PEOPLE WENT TO SCHOOL TO COLLECT QUALIFICATIONS THEY USE FOR SELFISH GAINS ONLY!
😅
👊 ✌✌✌💥
Some people went to school got qualifications and then use for private gain.
 
Tatizo ni exposure. Yaonekana hawajawahi kutoka zaidi ya maeneo hayo waliyozaliwa na kukulia, na hii ndio point ya ccm kuendelea kuwaongoza hao wanajamii wa huko.
Bado wanatumia ujinga wa kiupambanuzi wa WaTz
 
Wajuzi wa mambo kauli hii siyo rushwa kwa mujibu wa sheria za uchaguzi? Halafu si wanasema sitatumia cheo changu kwa faida yangu. NEC walioteuliwa na yeye wakaambiwa nikuchague, nikulipe mshahara, nikupe nyumba na Gari halafu umtangaze mpinzani...... Sishangai
 
Huu uchaguzi ukiuangalia kwa mawazo mafupi unaweza kuuona kama uchaguzi wa CCM dhidi ya Chadema na wengine;ila ukiuangalia kwa jicho la mbali ni uchaguzi wa kipekee ambao mstakabali mpana wa taifa unahusika kwa miaka na miaka ijayo.Ni mwaka huu pekee baadhi ya viongozi wa Serikali na Bunge wameonyesha nia ya kubadili katiba na kuondoa ukomo katika maswala ya uongozi jambo ambalo Rais Mkapa alilipinga hadharani kwa hekima yake ya kuona mbali;Maamuzi tunayoyafanya leo ndiyo mustakabali kwa vizazi vyetu vijavyo hvyo tusiwe wabinafsi na kufungwa fikra ze tu kwa mambo ya u chama Bali fikra komavu.
 
Back
Top Bottom