Ukurungezi siyo cheo cha kuonea wivu, cha muhimu mwambie tu afanyie kazi mapungufu hayo, ili afanikishe kufikisha maendeleo kwa wananchi.Wivu tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukurungezi siyo cheo cha kuonea wivu, cha muhimu mwambie tu afanyie kazi mapungufu hayo, ili afanikishe kufikisha maendeleo kwa wananchi.Wivu tu!
Sawa mama adi kujiita sweet basi we ni zaidi ya sugar.Wivu tu!
Tatizo ni exposure. Yaonekana hawajawahi kutoka zaidi ya maeneo hayo waliyozaliwa na kukulia, na hii ndio point ya ccm kuendelea kuwaongoza hao wanajamii wa huko.Tena wanateseka kweli kuna watu wamezaliwa huko hawajui barabara ya lami, umeme au maji ya bomba na ccm ndio mtawala wao.
Some people went to school got qualifications and then use for private gain.Hawa jamaa huwa hawajui kabisa kuwa kauli zao za kutulazimisha kuchagua watu wao, hata kama hawatufai, kwa vitisho vya kutunyima maendeleo, huwa ZINATUTAPISHA!
SOME PEOPLE WENT TO SCHOOL TO COLLECT QUALIFICATIONS THEY USE FOR SELFISH GAINS ONLY!
😅
👊 ✌✌✌💥
Bado wanatumia ujinga wa kiupambanuzi wa WaTzTatizo ni exposure. Yaonekana hawajawahi kutoka zaidi ya maeneo hayo waliyozaliwa na kukulia, na hii ndio point ya ccm kuendelea kuwaongoza hao wanajamii wa huko.
Huyu mzee kapanic,anatamani kampeni ziisheHalafu anasema maendeleo hayana vyama! Sasa tumueleweje?
Duh, binadamu wanashea maji na mifugoMkuu upo sahihi nimebahatika kufika iramba ni hatar sana
Ukweli ni kwamba Magufuli amepwaya mno kwenye hizi kampeni 2020.
Kongwa ndo jimbo linaongoza kwa kuzalisha omba-omba wanaorandaranda Dar es Salaam.KONGWA ndio kule niliona wanafunzi wa primary wanasomea chini au?
Kweli
KONGWA..
Duh....Kongwa ndo jimbo linaongoza kwa kuzalisha omba-omba wanaorandaranda Dar es Salaam.
Ndio, tuanze upya. Sio hawa wanaobagua maendeleo kwa watu kisa vyama vingiAcha tuchague wasio na connection mpaka urais