Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Muwekezaji mkubwa tz ni UK, akifuatiwa na kenya, SA ya tano
Umeelezwa "MWEKEZAJI MKUBWA ANAYETOKA BARANI AFRIKA"....sasa UK ni nchi ya Kiafrika?....yaani mnasumbua sana watoto nyie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwekezaji mkubwa tz ni UK, akifuatiwa na kenya, SA ya tano
Kama ulichokiandika ni hekima, basi hekima imeingiliwa....hatukuwepo huko kwenu na tumetaarifiwa na vyombo vya habari vya kwenu wenyewe( the star) lkn bado unaona sisi wabishi... Katika somo la ukarimu( hospitality) kuna maarifa tunaambiwa kuwa ' the first impression is the last impression) picha linaanza, kiongozi kama rais kupokelewa na waziri wa mambo ya nje, kimsingi, haijakaa sawa.Ubishi wa kijinga huu!.....unaboa sana.
Jamaa jitathmini sana kisha ukabadilike maana wakati mwingine mtu asiye na hekma hujulikana wazi wazi.
Ushaelezwa kwenye bandiko hapo awali kuwa hapakua na tukio kama unavyotaka kujiaminisha weye.
Mathaalan ,haumkomoi yeyote humu bali wajidhalilisha mwenyewe!
Wacheni kukuza mambo, hebu leta ushahidi kwa picha kwamba Magufuli alikwama kwenye foleni. Kinachofahamika ni kwamba mwenyewe aliamua kutembea kwa miguu kutoka hotelini hadi alikozikwa mzee Kenyatta ambapo ni umbali wa kama mita 100 hivi ambazo hazihitaji msafara wa magari.
Sasa mkijipoteza ufahamu na kujadili mambo yasiokua na maana ilhali marais wamekutana na kujadili mengi ya muhimu kuhusu nchi zetu, mnadhihirisha mlivyo na matatizo. Kesho anazindua barabara, sasa sijui mtaandika nini hapo.
Mimi uwekezaji wa kenya kuongoza Africa sina shida nao. Shida yangu ni uwekezaji huo ni mdogo kulingana na uchumi wenu kuwa mkubwa zaidi ya hapi.Umeelezwa "MWEKEZAJI MKUBWA ANAYETOKA BARANI AFRIKA"....sasa UK ni nchi ya Kiafrika?....yaani mnasumbua sana watoto nyie!
Mimi uwekezaji wa kenya kuongoza Africa sina shida nao. Shida yangu ni uwekezaji huo ni mdogo kulingana na uchumi wenu kuwa mkubwa zaidi ya hapi.
Sasa hapa unapetea. Maana umeanza kutoa kashifa dhidi ya Tanzania pekee pekee yake. Ni vyema kuwa honest ili tuweze kujadiliana kwa mapana zaidi badala ya kurushia lawama upande mmoja.Una "pointi" mkuu, swali ni,je?...ni nini kinapelekea mpaka uwekezaji huo uwe mndogo/kutokua kwa kiwango kikubwa?
Jiulizeni!
Binafsi ni sera zenu za uwoga uwoga dhidhi ya Kenya,kujitenga tenga,chuki za chini kwa chini ,ujamaa,kutofungua mipaka kikamilifu ili biashara ziendelee kwa kasi pamoja na wananchi wafanyabiashara kuvuka mipaka bila usumbufu ,viza za pamoja/urahisishwaji wa mustakbal na nyie kukwamisha miradi ya pamoja na maamuzi yenu yanayochukua karne na karne(very slow decision makers) na kadhalika.
Naweza kutaja mambo mengi sana humu, naomba niishie tu hapo.
Wewe mambo ya siasa ya nchi yetu achana nayo. Hizo ni issue za national affairs au ninaweza sema ni home affairs.Lakini viongozi wenyu wanalielewa hilo, wanafahamu kuwa mipaka yakifunguliwa kikamilifu,wananchi waliofungiwa na kulala fofofo hapo Tanzania watazinduka pamoja na wanahabari wenye weledi mkubwa kuingia humo kuwaangazia vigogo wenyu.
Ma CCM wanaogopa chama kitan'golewa punde tu watanzania wakizinduliwa.
Hahahahahahah!....wala haliitaji akili za ziada kulijua hilo.
Ndiyo maana unawaona wakiwalisheni chuki za ajabu ajabu ili tu msishikamane na wajanja wa Kenya na wa nje!, ilimradi tu muendelee kulala usingizi wa pono wao(CCM) wakawatawale milele na milele amina pamoja na kujinyakulia maliasili zenu hizo zilizo nyingi mno!
Sammuel999, it's sad that with all that investment we still don't give a damn about u! NairobiWalker, chukua makampuni yoote ya Kenya faida haifiki Tsh 3 Trl pia.
One thing i have noticed, sioni Amina akijipitisha kwa Magu after the press! Can s1 explain this?
Tim Choice kulinda interests za nchi si uwoga kama vile mlivyokataa kujiunga na East africa pipeline toka Hoima kwenda Tanga! Japo mna mafuta kiduchu. Mpaka pale mtakapokubali kujiunga na hoima Tanga pipeline ndipo labda tutaruhusu vans zenu kuingia Serengeti ila kwa kupitia Arusha!
get this straight
529 kenya comapanies
investment of $ 1.7 billion sio fedha za tz ni us dollars. kama ulienda shule kafanya hesabu.
employed 56, 290 tanzanians.
Hahah baada ya kuweka drawboard mpaka Uganda kuamua kumpa Tanzania!Kama JPM amekuja kutubembeleza tujiunge na hiyo pipeline yenu amekula huu. Sisi huwa hatujiungi na watu wanaoweka projects kwenye drawing board for over 15 years before the project is shelved.
MK254 don't get too excited it's actually foreign owned companies registered in Kenya that are the largest "African" investors in Tanzania.
Uchumi is died no more in TZ.Name them tumalizee huu mjadala once and for all!...name those foreign companies!
Equity bank?,KCB,Nakumatt, Uchumi??...c-mon douchebag!
Ha.....i knew ungeanza na hizo but let me tell you those are small fish. Kuna big fish investors in Tanzania who claim to be from Kenya while they are actually foreign owned. Do your research bro. You need to read Harid Mkali's book on that. Anakutajia a supposed Kenyan company plus the actual owners. LOLName them tumalizee huu mjadala once and for all!...name those foreign companies!
Equity bank?,KCB,Nakumatt, Uchumi??...c-mon douchebag!
$1.5 b ni Tshs 3 trillion. Najua hesabu kidogo imekupiga chenga lakini ningependa kukueleza kua kampuni za Tz zote pamoja haziwezi fikisha profit ya Tshs. 3 trillion.
Kuna tatizo kubwa la uelewa kwa watanzania hususan kwenye mambo ya maana, kila mtu mjuaji hata kwa vitu ambavyo havielewi. Kenya wana uwekezaji mkubwa Tanzania na data za TIC zinasupport hiyo sasa hao wanaokataa wana data zipi?Uwekezaj Wa Kenya ni upi hapa tz mi mgen
Kama mradi huu?Kama JPM amekuja kutubembeleza tujiunge na hiyo pipeline yenu amekula huu. Sisi huwa hatujiungi na watu wanaoweka projects kwenye drawing board for over 15 years before the project is shelved.
hata tukienda kulingana na hizi propaganda mnazozieneza kuhusu kampuni za kenya.... bado unashikika mahali,... nyinyi watz wenyewe mmekua mkiringia kenya kwa kiwa na FDI kubwa zaidi kuliko kenya kwa miaka kumi mfululizo, kwahivyo kama kampuni zilizo kenya ni za foreign investors na foreign investors wamekua wakiweka mabilioni tz kupitia FDI wakati huku kenya ni vimilioni kadhaa inakuaje kampuni za kenya zinawekeza zaidi ndani ya Tz? mbona hizo zenu haziji huku???Ha.....i knew ungeanza na hizo but let me tell you those are small fish. Kuna big fish investors in Tanzania who claim to be from Kenya while they are actually foreign owned. Do your research bro. You need to read Harid Mkali's book on that. Anakutajia a supposed Kenyan company plus the actual owners. LOL