Magufuli - Katika mataifa ya Afrika, Kenya ndiye mwekezaji mkubwa Tanzania

Kampuni gani ya Kenya inaongoza katika biashara yoyote Tanzania? Vibenki vyenu huku ni vidogo vyenye matawi machache Dar es Salaam tu.
 
Kampuni gani ya Kenya inaongoza katika biashara yoyote Tanzania? Vibenki vyenu huku ni vidogo vyenye matawi machache Dar es Salaam tu.
nimesema hapa kenya si rahisi kuona kampuni za nje zinaongoza......
huko tz kunazo kampuni za nje zinazoongoza kama mambo ya ndege, benki zinazotoa mikopo zaidi kwa makampuni na wananchi, kampuni za insuarance, kampuni za kuuza products za oil,
 
Kafrican, kampuni zenu zote za mafuta zimefilisika kuanzia kenobil mpk kplc! Sasa sijui mafuta yap unaongelea maana hata ya kupikia bidco is struggling all these years!
 
Kampuni gani ya Kenya inaongoza katika biashara yoyote Tanzania? Vibenki vyenu huku ni vidogo vyenye matawi machache Dar es Salaam tu.

Tatizo mnajifanya wajuvi wa mambo ambayo hata hamna uelewa navyo!...hadi mnakera, juzi tu takwimu zimeonysha mabenki za Kenya zinaongoza kutoa mikopo/biashara hapo bongo.
Jamaa fulani aliuleta uzi huo humu JF, katafute jamani mwache kutoa kauli za ajabu ajabu toka makalioni.
"literally pulling statements and figure from your ass"...!

kalb wahed!
 
Mikopo ya kununua nyumba 'mortgage' tu na siyo yote, benki kubwa zinajizuia kutoa sana mikopo hiyo kutokana na hatari yake. Vijibenki vya Kenya kwa Tanzania ni vidogo tu, vina matawi machache Ddar es Salaam.
 
Huwa napenda mtu mkweli...Anael wew ni wa arusha/kaskazini..usijifanye hujui pilikapilika za wakenya kanda hiyo na pia 1.5b sio ndogo ukilinganisha na sisi tulivyowekeza kenya. Tuna jambo la kujifunza kwani wenzetu wamethubutu na kuweza
kweli kabisa ni uwekezaji mkubwa kwanza hakuna mbongo mmoja mwenye 1.5b...tajir namba moja Tz ni more mwenye 1.3b
 
kweli kabisa ni uwekezaji mkubwa kwanza hakuna mbongo mmoja mwenye 1.5b...tajir namba moja Tz ni more mwenye 1.3b
Tena ni dola 1.5b sio kidogo kabisa kwani sis hatujawekeza hata robo ya hiyo kenya
 
bogus.....
 
nawapenda sana watz, hawasomi wala kuwa makini. haya ni maneno ya rais wenu akiwa ziarani kenya. anasema uende kwa data za Tanzania investment center. utapata haya.

leading african investor in TZ,

kenya 526 companies

money invested 1.7 billion dollars

job created 56, 260 tanzanians employed

 
Hiyo site yao taaban, hawaja update kwa muda,. haina information yoyote nzuri!! Hawana watu wakuangalia mitandao ya serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…