Magufuli,Korosho na wahindi

Magufuli,Korosho na wahindi

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
This is a great forum here by Magufuli, great plans to see farmers are not exploited.
but just noted the many Asians/Indians in the forum yet i see many Bongo people here say how Kenya is owned by Indians, The number of Indian population and investments is always on the decline in Kenya.

Fukuzia mbali hawa raia wa Asia ni watu hatari na wanyonyaji wakubwa..!
 
This is a great forum here by Magufuli, great plans to see farmers are not exploited.
but just noted the many Asians/Indians in the forum yet i see many Bongo people here say how Kenya is owned by Indians, The number of Indian population and investments is always on the decline in Kenya.

Andika kwa kiswahili ueleweke vizuri
 
Kuna watu wengi sana wanambeza mh. Raisi. Lakini kiukweli anahaki ya kuwatetea wakulima. Mkulima auze korosho zake kwa 3000 halafu huku ulaya tununue madukani 25000 kwa kilo. Hilo ni kwa sababu ya hawa walanguzi wa middleman. Najua kwamba zinapitia process nyingi hadi zifikie hapo madukani lakini kwa hiyo bei ya 3000 hadi 25000 ni kubwa sana.
Kuna kipindi chai tv kilicho tayarishwa na Mama mmoja mwingereza. Alifuatilia zao la cocos linalo l
Imwa huko West Afrika. Ameonyesha jinsi linavyo limwa hilo zao na ni watu wa Aina gani ni wa rika gani na wanauza bei gani, na akafuatilia hao ma middleman, wengi wao ni wahindi, jinsi wanavyo nunua na wanavyo minya bei ili wao wapate faida kubwa zaidi. Yaani inatia huruma sana.
Kwahiyo ili kuwasaidia wakulima inatakiwa serikali iingilie Kati na ikiwezekana wanunue hayo mazao.
Huku ulaya kuna kitu kilianzishwa kinaitwa FAIR TRADE.. hilo linahusu jinsi ya kumsaidia mkulima. Yaani ukinunua bidhaa za fair trade utakua umemsaidia mkulima. Yaani bidhaa zao zinahusiana direct na mkulima, ni hao wakulima wanao fanya kazi zao kwenye mazingira mazuri bila kuwahusisha watoto. Na wanalipwa vizuri.
 
You have got something mzee usitubanie. Andika hata makala basi.
 
Infact sina kitu ninacho bania. Hiyo program mimi mwenyewe niliona kwa bahati tu. Nilikua najaribu kutafuta kitu cha kutuzama ndio nikaikuta hicho kipindi na nikaangalia mpaka mwisho. Nitajaribu kukitafuta hicho kipindi kama kitapatikana kwenye internet halafu nitawaletea. Hiyo program iliwafungua macho watu wengi tu
 
1540903545662.png
1540903545662.png
 
Back
Top Bottom